text
stringlengths
1
464
Mkiwa mnapikamsiweke chumvi kingi
Tulishikwa na mafua sote
Twataka tujue walitoka wapi
Pigisha godoro jua
Nataka mtu anioshee blanketi
Mmeskia neno la leo
Wamesema nisipike wamefunga
Watu wamefurahi kwasababu wamepewa chakula cha bure
Tumbiri zilitukujia usiku
Bibi anachimba mihogo za watu
Maneno yote unayosema ni mazuri
Ongeeni vizuri kwa watoto wenu
Acheni kupiga watoto wa watu
Tuwache kuuwa watotot na maneno
Vyombo zao ni chafu sana
Vitu za bure ni tamu sana
Uangalie mtoto wako njia zake
Watu wawili walishikwa wakiiba mabati
Nimeingiza kuku ndaniya banda lake
Mimi sina shida na mtu
Ukikasirika ni vizuri unyamaze
Muue mbu zote
Wananyunyuzia shamba zao maji
Joto imejaa kila mtu anatoa jasho
Kuna jiko linapika na kuni
Kuna mtu alikutuma kwangu
Alikuwa kwa mnyama
Wameweka wanyama nyumbani mziangalie vizuri
Mnunulie ng'ombe zenu chumvi
Umbwa iko shambani imalala
Watu wengine wanachezea kiwanja chote
Naenda kuangalia shamba
Waliposkia wamejifunguamtoto wa kiume walifurahia
Mwambieni nlikuja jana
Inafaa tuongee juu ya njia zimeharibika
Nikifikiria mahali nimetoka naskia kutoa machozi
Alipotezakila kitu chake
Siku zaoza kufurahia yaliisha
Alikuwa anafanya wenzao wakasirike
Alipiga magoti kuomba msamaha
Hataki kucheza na watoto wangu
Mtu wake alikuja kosa pombe
Wagombeza watu bure bure
Ukipata za siku sema asante
Alikataa kuombea chakula
Aliambiwa awache uwongo zake zimekuwa nyingi
Mkishindwa kulea watoto wenu msiwatupe
Toa nguo zako niweke zangu
Amepasuka kisigino ukiweka pesa inakwama
Ana mikono migumu kama kuni
Anasinywa na mke wa wenyewe na huwa anawasaidia
Huyu mtoto huwa anaenda akisimama na njia
Watu wengine wakubwa wana mafikira kama watoto
Wanashinda wakilia usiku na mchana
Alikuja julikana huwa wanafanya kusudi
Sikuizi watoto wanadharau watu wakubwa
Wanangojeaapate kazi ndio aowe
Nyani haijui matako yake
walikula kabisa nyama zote na mifupa hata ya umbwa
Midomo yao imejaa mambo
Walipokuja walifanya mbuzi ikakonda kweli
Anakunya mavi magumu kama ya punda
Kupalilia huwa kunachokesha mikono
Wakiamka huwa wanapata pesa kwa mikono
Hii mbuzi imezoea kupanda miti
Aliumwa usiku mzima ila bado hajajifungua
Wanatoa jasho kama chura
Kumekauka wamekata miti wapatie mifugo zao
Alikuwa anasumbuliwa ma tumbo kutoka akiwa mdogo
Niliacha kazi nlipoenda nyumbani
Walikuja ongezewa pesa
Ilipofika masaa alitaka aliamka akaenda
Akila nyama anafura mwili mzima
Ukipanda uchague mbegu vizuri
Uwaambie wakija wanakuwa wakali
Ma mkwe wake akija huwa hatoki inje
Huyu mwanmke anazunguka sana
Joto imejaa leo
Ameenda akaacha watoto nyumbani
Watu wote wanashangaa nahii inchi vile imebadilika
anatokwa na jasho mwili wote
Vitu zake akipatia watu huwa wanazitupa
Watu wanamwita mchawi
Siku zijazo watu watakuwa na shida
Wameeka kuku ila hawajui kuzifuga
Leo tumelala njaa
Waliulizwa lakini wakakataa
vinamasi vyote zimekauka maji
Nimekatwa na kisu vidole
Watu wote hawafanani
Mtu mwingine akiwa anaongea hataki watu wengine waongee
Alipokuja kuhubiri watu walienda wote
Kazi yoyote ifanye na roho yako yote
Watu wengine hatuna wa kututetea
Walinichimbia shimo wangaingia wenyewe
Alipopata mtoto aliacha kazi
Alipewa chakula kikamuua
Maneno yangu
Kutoka nimezaliwa sijaona hizi shida
Ukae chini ujiulize maswali ya maisha yako