text stringlengths 1 464 |
|---|
Walipeana uwanja wao kwa sababu uko njiani |
Watu wakishikana hawatajulikana shida zao |
Alienda kutafutia mtoto nguo |
Lazima mvua ikinyesha avae nguo za moto |
Kulala jikoni unapata joto |
Yule mtu alimnunulia mtu wake nyumba |
Alisema na mdomo wake hataoa |
Nyuki walitoka mtini wote |
Meno yake yametoboka yote |
Leo nimechoka kushinda siku zote |
Maji yako motoni |
Usisahau kunywa dawa zako |
Vitu vimepandishwa tumechoka na dunia |
Leo nilienda mbali miguu inawaka moto |
Paka hataki kumla panya |
Alipolisha alienda nyumbani bila kufunga zizi |
Maziwa ya mbuzi yamemwagika |
Siku hizi watu waambiane ukweli |
Huwa anauza kuku wake nchi za nje |
Amebeba kibuyu kichwani |
Ameamka akapata watu wote wamemkataa |
Wacheni tuchague wakubwa wengine |
Amekula ila hajashiba |
Jua limewaka hata mboga zimekauka |
Aliingilia mji wa watu akapigwa |
Manyoya ya paka si mazuri |
Nilifanya na yeye kazi si mbaya |
Ametufunga macho na maneno yake |
Nguo zangu za kuosha ni nyingi |
Ukiambiwa ukweli usiudhike |
Watu wameanza kupika ugali |
Nashindwa kuwaambia mambo yao yote |
Leo watu wanachunga nyani |
Watoto wa jana wamekuwa wakubwa |
Eneo la Mwanda wazee ni wengi san |
Alisomeshwa alipomaliza akamkataa |
Akilewa ndo ataongea |
Wamasai wanajua kuchoma nyama |
Huyu mtu akienda matangani huwa anabeba pilipil |
Uwaambie watoto wasikate kucha kwa meno |
Watu wengi hawamjui ni mwizi |
Wako watu wakiona kila kitu kwa watu wanataka |
Watu wengi walishindwa na mambo yao |
Alimgombeza mama mkwe wake mpaka akalia |
Huyu mtu aliyeekwa mkubwa anafanya watu wapatwe na shida |
Watu wanapaswa kukaa kwao |
Aliolewa kwa nguvu kwa sababu amezeeka |
Watu wakiwa na mkutano huwa wanakutana |
Munaonea bibi ya watu |
Uende uangaliwe mwili wote |
Huyu mzee hajulikani mambo yake |
Nguo yake iliibwa |
Alinisingizia eti nilikataza watu wasimlimie shamba lake |
Mmeyamaliza aje haya maneno? |
Alisema anaenda mwenyewe kuliona hilo shmba |
Watu wengi huwa wanajipa shughuli isiyo yao |
Huwa unacheka wenzako tunangoja kwako |
Mlale ndani ya neti mbu wamekua wengi |
Ni mara ngapi mtu huyu aliwadanganya |
Alisema nikutane kwao kwa sababu ya mahari yake |
Leo tulitaka hayo maswali wanauliza yasemwe yote |
Ukitaka kuenda vizuri usiseme maneno ya watu |
Nilikuwa nataka nije unisaidie kupanda |
Kiuone changu kimekataa kuinama |
Nguo zangu zimenishinda kuosha mikono haishiki |
Usikimbie majaribu yakija |
Nitaitwa niende kupalilia shamba lake |
Leo nimekusalimia ukanyamaza kimya |
Nina shida nimekataliwa na mke wangu |
Huwa anapika sima na nyungu |
Chakula kikipakuliwa watoto wanakila na moto hivyo hivyo |
Labda yule mhuburi alizaliwa lini? |
Nataka nikugeuze uwe mtu mzuri |
Mimi sijui ni nini ilifanyika kwako |
Alikutana na punda ambaye hajakula akampiga mateke |
Hakukukuwa na chochote jana |
Haya mahindi hujayachuja vizuri |
Wazee wengine wa kitambo ni wachawi |
Walimchoma eti ni mwizi |
Watu wengine wanawaficha watoto wasio na akili |
Watoto walinyimwa chakula siku tatu wakaenda kwao |
Wanaongea kama ndege |
Mvua inaonesha kuja lakini inapita |
Mawingu yanakuja kwa hivyo mvua itakuja |
Wanawake wameharibu watoto wao na kuwabembeleza |
Mtoto vile utamlea ndivyo atakua |
Utashinda ukijificha mpaka lini siku zimeenda |
Kukaa peke yako siku zako za kukaa duniani zinapungua |
Watu wengine wameshindwa na kina baba na mama wao |
Kila kitu ueke kwenye karatasi |
Watu wamejaribu mambo mengi siku hizi za shida |
Kuna ugali wa jana |
Bora wale hawajazaliwa bado |
Oshea vidole nje |
Kazi ya kugombeza watu tu |
Wanakunywa pombe na kupokonya watu chakula |
Watu wengine wamekataa kuongea maneno yao |
Huwa unafanya kazi hapa |
Natafuta njia ya kwenda nchi za nje |
Vile uko ndani ndo uko nje |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.