text
string
Kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na uzalishaji wa kuku, nyama ya kuku, vifaranga, mayai, mbolea, chakula cha kuku, vifaa na mashine zinazohusiana na masuala ya kuku. Tunatoa elimu na muongozo juu ya ufugaji bora, ujengaji wa nyumba za kuku, chanjo, madawa na mengine mengi. Business Address Ilala, Kinyerezi Dar ...
Watu wengi wamekuwa wepesi sana kukimbilia kwa rafiki zao ili kuomba msaada wa mawazo ya nini wafanye kwenye mapenzi. Imani iliyojengeka kwa watu wengi katika jamii yetu ni kuwa ushauri ni kitu muhimu sana kwa kila hatua. Kwa mtazamo wa haraka haraka unaweza kuishia kwenye ukomo huo wa fikra na kuamini juu ya ushauri w...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa Habari katika Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuhusu maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani kwa mwaka 2021. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Sele...
celtic waliutafuta mpira kwa tochi mzee mkapa alikuwa na mke mmoja Nane nane ni Sikukuu ya wakulima nchini Tanzania Messi alisifika katari nzima alipokuwa barcelona Wachaga kabila linalojulikana kwa kufanya biashara
Hawa ni aina za kamba wadogo. Kuna asilimia kubwa ya familia ya Van kuwa wanajeshi. Athari kuu ni nadra. Majani yake huwa na rangi ya kijani au nyekundu. Mchezo una hadithi nyingine.
Mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania bara msimu uliopita (2016/17) Mohamed Hussein Zimbwe Jr kwa sasa hachezi mara kwa mara kwenye kikosi cha simba, maswali mengi yameanza kuibuka kuhusu nafasi yake kwenye kikosi cha wanamsimbazi kutokana na uwezo unaooneshwa na asante kwasi anayefanya vizuri kwenye eneo la kushoto. Kumb...
Habari nyingine njema kutoka kwa Jenipher Sitta ambaye ameachia wimbo wake mpya wa sifa unaoitwa I wanna Praise You. Wimbo huu ni wa kusifu maneno yake yanaelezea shauku ya kumsifu Mungu wangu kwa vile anavyofanya kwenye maisha yetu. Karibu kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa kipekee, Eimen. Kwa mawasiliano zaid...
Sunday, February 28, 2010 Utafiti mpya umegundua kuwa mada zinayotokana na tikitimaji ambazo ni mboga mboga zinazopatikana sana India, China na Amerika ya Kusini zinaweza kusaidia kuwaepusha wanawake na kensa ya matiti. Kwa mujibu wa uchunguzi huo uliochapishwa kenye jarida la Utafiti wa Kensa, majimaji (extract) yanay...
Mkuu wa chuo kikuu cha Agano, mjini Otta, Ogun, Dr. David Oyodepo, aliupitia kwa upya mfumo wa ulinzi wanchi hiyo kinyume na wale wanaojiita ‘religious bigots’ wanaoitaka Nigeria iwe nchi ya kiislam kwa kuendelea kushambulia makanisa. Oyodepo pia alitoa wito kwa serikali kujidhatiti kwa swala la tatizo la usalama, kwa ...
Lipuli FC imeibuka na ushindi wa bao moja mbele ya Singida United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliofanyika katika uwanja Samora mkoani Iringa. Tangu ilipoitoa Yanga katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya FA, Aprili mosi Singida imeshindwa kupata matokeo ya ushindi kwenye michezo ya ligi. Mshambuliaji Mali...
- Mwanzo - Kuhusu sisi - Utawala - Wilaya - Halmashauri - Fursa za Uwekezaji - Huduma zetu - Machapisho - Kituo cha Habari Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary amesisitiza kuendelea kutoa elimu zaidi juu ya mpango wa huduma ya usafiri wa dharura ujulikanao kama M-mama. Bi. Zuwena ameyasema hayo akiwa ni mgeni r...
Mradi wa maji Chiwaga Makuyu, Chiwaga 5,000 745,000,000.00 157,595,964.84 65 270. MOROGORO Gairo DC Mradi wa maji Chogoali Chogoali 5,000 551,011,384.00 - 67 271. MOROGORO Gairo DC Mradi wa maji Italagwe Italagwe 8,500 933,059,771.60 431,302,379.00 95
Israel kurejesha uhusiano na nchi ya tano ya Kiiislamu kabla ya Trump kuondoka Imechapishwa: Israel imejikita kwa kina kuhalalisha uhusiano na nchi ya tano ya Kiiislamu katika bara la Asia kabla rais wa Merika Donald Trump kukabidhi madaraka kwa mrithi wake Joe Biden ndani ya kipindi kisichozidi mwezi mmoja, waziri wa ...
Rais mpya wa Mali aapishwa - 4 Septemba 2013 Rais mpya wa Mali Ibrahim Boubacar Keita, ameapishwa kama rais wa nchi hiyo mjini Bamako. Sherehe kubwa zaidi ambapo rais wa Ufaransa Francois Hollande amealikwa zitafanyika baadaye mwezi huu. Wanajeshi wa Ufaransa walisaidia jeshi la Mali kupambana na wapiganaji wa kiisilam...
Muundo wa Muungano ni kati ya sura za Rasimu ya Katiba ambazo zimezua mjadala mzito kwa wajumbe wa Bunge la Katiba, hasa baada ya kuwapo kwa mgawanyiko wa makundi yenye msimamo tofauti. Kamati ya Uongozi ya Bunge hilo ilipanga Sura ya kwanza na ya Pili kuwa sura za awali ambazo zitajadiliwa na kamati 12 za bunge hilo, ...
- Ukurasa wa mmoja wa watoto wa Hamissa Mobetto umeendeleza fununu za marejeleano - Mtoto mvulana wa Hamissa alikuwa akionyesha kufurahia wazazi wake kuwa pampoja Jumapili - Sherehe za Jumapili zilihudhuriwa na ‘vimada’ wawili wa Diamond Mtoto wa kiume wa sosholaiti wa Tanzania Hamissa Mobetto, Daylan ameendeleza funun...
Posted on: November 22nd, 2018 Wakulima wa korosho wahakikishiwa malipo yao Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine amewahakikishiwa wakulima wa korosho kuwa watalipwa fedha zao. Kauli hiyo ... Posted on: November 21st, 2018 Manispaa ya Lindi yatakiwa kuboresha uwanja wa Ilulu Waziri ...
Shambulizi la silaha Afghanistan Wanajeshi 5 wauawa kwenye shambulizi la silaha lililoendeshwa na wanamgambo wa Taliban Wanajeshi 5 wameuawa katika shambulizi la silaha lililoendeshwa na wanamgambo wa Taliban kwenye kituo cha jeshi katika mkoa wa Balkh kaskazini mwa Afghanistan. Msemaji wa Kituo cha 209 cha Shakin Corp...
Muda ni kitu ambacho hakiwezi kuthaminishwa na ni muhimu sana hivyo kila sekunde ina umuhimu wake katika maisha na kufika mahali kwa wakati ni jambo ambalo wengi (hasa kwa nchi zilizoendelea na zinazoendelea) wanathamini sana muda. Foleni barabarani zimekuwa kero sana na hivyo kufanya watu kuchukia usafiri hasa kwa nch...
ਇਆਹੂ ਜੁਗਤਿ ਬਿਹਾਨੇ ਕਈ ਜਨਮ ॥ i-aahoo jugat bihaanay ka-ee janam. So many lifetimes are wasted in these ways. Kuishi kwingi tofauti kunaharibiwa kwa njia hizi. ਨਾਨਕ ਰਾਖਿ ਲੇਹੁ ਆਪਨ ਕਰਿ ਕਰਮ ॥੭॥ naanak raakh layho aapan kar karam. ||7|| O’ God,please, show mercy and protect him from these vices, prays Nanak.||7|| Ee Mungu, ta...
Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Maziwa hutumika sana. Hula mimea, mizizi na pengine wadudu. Matibabu yanaweza kuwa mabadiliko ya mfumo wa maisha, ushauri na dawa. Baba yake, Haji Muhammad Mushtaq, alikuwa mfanyabiashara wa ngamia na farasi kutoka Malashi.
Leo, watengenezaji wote wanazingatia mwenendo wa baadaye wa maendeleo ya wavuti, ambayo itakuwa maarufu mwaka wa 2022. Matumizi yao sio tu. kusaidia kutengeneza tovuti inayofanya kazi zaidi lakini pia itachangia utangazaji wake katika injini ya utafutaji. Jinsi mitindo hii inavyofaa itakuwa wazi katika miezi kadhaa. Ha...
Ukata wazidisha ongezeko la njaa miongoni mwa wakimbizi:WFP Mamilioni ya wakimbizi wanakabiliwa na mustakbali wa sintofahamu na janga la njaa wakati athari za janga la corona au COVID-19 likiendelea kuathiri bajeti za misaada na hivyo kuathiri operesheni za dharura za misaada kwa wakimbizi limeonya leo shirika la Umoja...
Rais Uhuru aishawishi jamii ya wakuria impigie kura Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto leo wamezidisha kempeni za kutafuta kuchaguzliw akatika kinyang’anyiro cha tarehe 26 kwa kukutana na ujumbe kutoka jamii ya wakuria na kufanya kampeni Vihiga. Rais na naibu wake wakiahidi maendeleo kochokocho kwa wenyeji ...
Mchezo wa riadha nchini Kenya umekumbwa na msukusuko baada ya mwanariadha wa kike Rita Jeptoo, mshindi wa mbio ndefu za Boston na Chicago hapa nchini Marekani, kudaiwa kuwa alitumiwa madawa ya kuongeza nguvu baada ya ushindi wake wa mbio ndefu za Chicago mwezi Oktoba. Jeptoo ambaye amewahi kushinda mbio ndefu za Boston...
Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (kulia), akimkabidhi Katibu wa Timu ya Singida United, Abdurahman Sima, mipira na vifaa vingine vya michezo vyenye thamani ya sh,milioni 10 Dar es Salaam leo kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itakayoanza Agosti mwaka h...
makala hii ni sehemu ya ukurasa wetu maalum wa Maandamano ya Upinzani Misri 2011. Kiongozi wa upinzani nchini Misri Dr Mohamed El Baradei alifanya ziara fupi kwa maelfu ya waandamanaji wanaompinga Mubarak, walioweka kambi kwenye viwanja vya Tahrir jijini Cairo, dakika chache zilizopita. Ufuatao ni mvumo ambao ziara hiy...
49 Like 7 Dislike Princess Tiffah akifanya yake,anapendeza kweli. Like,Share and Subscribe. subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time #middle_simba #WeAreEverywhere DAR ES SALAAM, TANZANIA Maisha yao Princess Tiffah na Prince Nillan wake Zari the Boss Lady na...
Watanzania sasa hivi ukizungumzia ufisadi wanafikiria mabilioni, huku wakisahau kuna watu wanaoweza kuondoka ofisini na elfu hamsini kila siku bila ya athari zozote kwa mtazamo wangu wafanyakazi wengi wa serikalini ni mafisadi kwa sababu wanalipwa mishahara midogo lakini wanaishi maisha makubwa na kumiliki mali ambazo ...
Mtorwi mita elfu mbili mia tisa sitini na moja Licha ya kuwa ziwa hilo linavutia kuangalia lakini halina samaki Wahehe waligawanyika na sehemu kubwa ya viongozi waliochoka Inaongezeka pia Nyamagana na Magu lakini pia ipo Ukerewe na Misungwi
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Becka Title amesema aliamua kuachana na management yake ya zamani baada ya kugundua kuwa inamrudisha nyuma. Ameiambia Dizzim Online, “kazi zangu zimelegalega kwasababu ya management, unajua zamani nilikuwa na management tukafanya kazi vizuri lakini mwisho wa siku hakuna kitu cha maana....
Umuhimu wa wahusika Sasa na Mbura katika hadithi Shibe Inatumaliza Answer Text: Umuhimu wa wahusika Sasa na Mbura katika hadithi “Shibe Inatumaliza”-Wametumiwa na mwandishi kudhihirisha jinsi wananchi wenyewe wanavyochangia katika kuzorotesha nchi kwa kuachilia unyakuzi uendelee. Walioko madarakani wanakaa tayari kunya...
2018/2019, Serikali itaendelea kuboresha miundombinu na huduma zinazotolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC). Hivyo, Serikali imetenga Shilingi milioni 1,506,500 fedha za ndani ili kutekeleza kazi zifuatazo: 171(i) Kuendelea na ujenzi wa reli ya Kati kwa
Catherine: baadhi ya mitindo ya mavazi mbalimbali ambayo, Wanawake siku hizi kwa swala la mitindo ya vitenge hawako nyuma tunawafikia wanageria kuvaa matenge mitindo ya kisasa haitupiti ila w. Women-communication: mitindo ya kuvaa usiku jamani,,,enjoy, Fantastic site you have here but i was wanting to know if you knew ...
Akiwa huko akaendelea na kazi yake ya uwindaji Aina mojawapo ni ile ya magimbi ambayo huchukua muda mrefu kuiva Wakurya hawaishi tu Tarime bali huishi wilaya zote sita za Mkoa wa Mara
Kwa siku mbili hizo, bendera nchini kote zitapandishwa nusu mlingoti, kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Mali. Kati ya wahamiaji 90 na 100 walitoweka baharini baada ya boti lao kuzama kwenye pwani ya Libya, Jenerali Ayoub Kacem, msemaji wa kikosi cha wanamaji cha Libya alisema siku ya Jumanne jioni. Ndoto yao ilikua ...
Kansela Angela Merkel, akiwa amemaliza ziara yake huko Uchina na Japan, amezitaka nchi zenye chumi zenye kuibuka ziweke malengo wazi ya kupunguza moshi mchafu hewani ili kuzuwia ujoto duniani. Pia amesema anataka kupendekeza kwa nchi zinazoendelea suluhu ya mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa, lakini alionya kwamba m...
Yuko tayari kukaa na wewe Leo utatoa moshi. ukimwi unasababisha ukosefu wa rasilimali watu mengi katika historia ya binadamu Imepakana na Afghanistan kwetu sisi tuko tayari na tunawakaribisha sana na tunadhani tatizo sio uhuru wa habari
Walitumia utamaduni wao zaidi katika kusherehekea matukio Kwa upande wa milima Tanzania pia imebarikiwa sana Baadhi ya vitu kwenye magofu hayo vinaibwa vinaharibiwa wakati magofu mengine yakizidi kuchakaa Utalii wa kuogelea ni rafiki sana kwenye kisiwani nyambe
Hivi kwa mfano una GF/BF wako ambaye mlikutana baada ya kumaliza chuo/shule, lakini ikatokea kuwa kila ukikutana na mtu ukiwa naye, ambaye aliwahi kumfahamu, labda huko sekondari au chuoni, na akafahamu kuwa ninyi ni kama nafsi moja, wengi wanakuwa wakimwagia sifa nyingi sana kama vile; mpole, katulia, busara nk, pia n...
Mkanganyiko umetokea kuhusiana na posho za wabunge za Julai kwani baadhi wanadai hawajawekewa huku wengine wakisema wamewekewa katika akaunti zao za benki. Siyo wabunge tu, bali hata baadhi ya watumishi wa Bunge nao wanadai kutowekewa mishahara yao ya mwezi uliopita. Posho hizo za wabunge ni zile za majimbo ambazo huun...
Askofu wa kanisa la Ushindi Baptist Joseph Maisha amewataka viongozi wa kidini ukanda wa Pwani kuungana ili kuzisaidia familia zilizoathirika na mafuriko. Akiongea na wanahabari huko Likoni Askofu Maisha amesema kuwa kwa sasa familia nyingi zimepoteza makao na hata wapendwa wao kutokana na mafuriko yanayoendeelea kushu...
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Iran, Mohammad Javad Zarif, amesema nchi yake itajilinda kwa nguvu zote dhidi ya uchokozi wa kijeshi na kiuchumi, huku akizitolea wito nchi za Ulaya kuchukua hatua zaidi kuyanusuru makubaliano ya nyuklia waliyotia saini. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi habari mjini Baghdad, Iraq, hi...
Serikali ya Kenya kuondoa matangazo magazeti ya kibinafsi Serikali ya Kenya imetangaza kuwa itasitisha matangazo yake kupitia magazeti ya kibinafsi nchini humo, katika hatua ambayo ina lengo la kupunguza matumizi. Serikali inasema kuwa hutumia karibu dola milioni 20 kwa matangazo ya magazeti katika masuala kama zabuni ...
Watu 10 kati ya 26 ambao walikuwa katika boti ya kitalii ambayo iliyotoweka jana huko Japan wamepatikana leo katika pwani ya kaskazini taifa hilo wakiwa wamekufa. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa walinzi wa fukwe. Likinukuu chanzo hicho shirika la habari la Uingereza Reuters awali kilisema, watu hao miongoni mwa wengine w...
sentensi mkitumia vitenzi vifuatavyo pamoja na huyo au hao. 1. Cheza 2. Vunja 3. Soma 4. Keti 5. Lima 6. Osha DA br Peart ya Kenya 36 na 37 Usalama wangu
MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema shambulio la risasi alilofanyiwa akiwa mjini Dodoma lililenga kumnyamazisha dhidi ya kuikosoa serikali. Anaripoti Mwandishi wetu.. (endelea). Lissu ambaye pia ni mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ameyasema hayo leo akizungumza na wanahabari ikiwa...
Mangula atauziwa tena CCM ndani ya gunia! MAIS Mstaafu Jakaya Kikwete aliyasema haya kuhusu chama chake alipokuwa akifunga mafunzo maalumu ya siku nne kwa makatibu wa CCM wa mikoa na makatibu na wenyeviti wa wilaya wa chama hicho nchini mjini Dodoma huko nyuma. Kikwete alisema kuwa kama rushwa haitakomeshwa ndani ya ch...
YouTubeSC.com Facebook Downloader hukusaidia kupakua video yoyote kutoka Facebook pamoja na video fupi. Kupakua video za Facebook katika umbizo la MP4 ni rahisi, unahitaji tu kubandika URL ya Video ya Facebook na kupakua. Kipakuzi chetu ni bure na hahitaji usakinishaji au usajili. Usaidizi wa miundo ya URL: Bandika url...
WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARIbarabara/ mitaa/ njia, makazi na wakazi sambamba na kumuongoza mtu kutoka anwani ya makazi moja kwenda anwani ya makazi nyingine; ii) Semina ya kuwajengea uelewa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi imetolewa kwa Viongozi 483 ambao ni Wakuu wa Mikoa; Katibu Tawala wa Mik...
Rasi hii ni rasi kubwa ya Ulaya. Waliobaki ni Waarabu, Wachina nakadhalika. Zamani ilijulikana kwa jina la "Wilaya ya Mara Kaskazini". Mamalia hao walikuwa wadogo tu. Majike wanafanana na madume yenye manyoya ya kutokuzaliana.
Idara inayosimaia safari za anga na Idara ya usalama ya FBI nchini Marekani zimesema hakuna dalili za matendo ya kigadi kufuatia ajali ya ndege ndogo iliyoangukia katika jengo moja refu la makaazi katika mji wa New York. Ndege hiyo ilikuwa mali ya mcheza Baseball wa timu ya New York Yankees Cory Lidle aliyekuwa rubani ...
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri amewapa dhamana Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano bila ya kuwepo mahakamani. Anaripoti Jabir Idrissa … (endelea). Hakimu Mashauri ametoa maamuzi hayo bila ya washitakiwa kuwepo mahakamani kutokana na kushindwa kuletwa kutoka gereza la Se...
Hivyo ilibidi Uingereza na Ufaransa zitangaze hali ya vita dhidi ya Ujerumani Gazeti la leo. kabisa wao wenyewe walikuwa wanajiita West Side Niggaz kutokana na utajiri alionao amekuwa akiishi maisha ya kifahari ambapo mwenyewe alithibitisa kuwa muziki
Biashara haramu ya ngozi ya chatu yashika kasiKusikiliza / Utafiti mmoja umebaini kuwepo kwa ongezeko kubwa la usafirishwaji wa ngozi ya chatu inayosafirishwa kwa wingi toka Kusini mwa Asia na kupelekwa eneo la Mashariki. Wananchi wa bara la Ulaya ndiyo wanatajwa kuhusika kwa kiwango kikubwa katika biashara ya ngozi ya...
- Mwanzo - Kuhusu sisi - Utawala - Fursa za Uwekezaji - Huduma Zetu - Madiwani - Miradi - Machapisho - Kituo cha Habari Shule za Sekondari za Halmashauri ya Wilaya ya Arusha zimefanya vizuri kwenye Matokeo ya mitihani ya Taifa ya kidato cha nne kwa Mwaka 2023 yaliotangazwa na Baraza la mitihani la Taifa NACTE. Akieleza...
I. TUME YA MADINI ................................ ............................................. 47 II. TAASISI YA JIOLOJIA NA UTAFITI WA MADINI TANZANIA (GST) .. 53 III. SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) ................................ ... 64 IV.
NYOTA wa muziki nchini Uingereza, Joss Stone, ameahirisha tamasha lake la muziki katika visiwa vya Caribbean baada ya mbwa wake kuugua. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, msanii huyo aliandika kwamba anavyoishi na mbwa wake anayejulikana kwa jina la Missy ni sawa na mtoto wake hivyo akiwa anaumwa lazima amwangalie na ku...
Na RAPHAEL OKELLO MKUU wa Wilaya ya Bunda, Lydia Bupilipili, ameliagiza jeshi la polisi kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wazazi na walezi ambao watoto wao wanajihusisha na ajira migodini. Alisema lengo ni kukomesha uvunjaji wa haki za watoto. Akizungumza na wachimbaji wa Kijiji cha Kamkenga jana, Bupilipili alisema...
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu bayo-anuai unaendelea mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri kujadili mbinu za kunusuru bayo-anuai ambayo inazidi kutoweka duniani. Mkutano huo ulioanza Novemba 13 na kuendelea kwa wiki mbili hadi Novemba 29 , umewaleta pamoja wafanya maamuzi na wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 190 kwa le...
Ukarabati huu umeiwezesha ATCL kufanya matengenezo ya kiwango cha C Check kwa ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner na Dash 8 Q400 na kufanya matengenezo yote madogo madogo kwa ndege zake zote.
Ukoo huu hauvumi sana kutokana na watoto wa wazee hao kuhama Na kuchochea ukuaji wa biashara zinazofanyika katika miji hiyo Hutegemea zaidi pua na masikio kuweza kufanikisha shughuli zake blob anajiamini kwa kiasi kikubwa sana
afya kwa kuwekeza kwenye maeneo makuu mawili ambayo ni huduma za maabara na huduma za radiolojia . Kwa upande wa huduma za maa bara, hadi kufikia Aprili 2023, jumla ya maabara zilizopo ni
Huku vita dhidi ya ufisadi vikishika kasi nchini wito umetolewa kwa maafisa wa umma kuhakikisha wanalinda vyema pesa zinazotengewa miradi ya maendeleo kwa wananchi. Wito huo umetolewa na gavana wa mombasa Hassan Joho, wakati akizindua rasmi kituo maalum cha kuhudumia kinamama wajawazito katika hospitali ya rufaa ya mak...
SWALI: Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu, Bismillahi Rahmanir Rahim, Sifa njema zote zote ni stahiki ya Mwenyezi Mungu (S.W.), rehma za Mwenyezi Mungu na Amani Yake iwe juu ya Mjumbe wake Mtukufu Muhammad (S.A.W.W). Ama baada ya hayo yaliyotangulia mimi ninataka kuuliza kuwa kwanini tunatumia hadithi ambazo ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ali kwa juhudi zake za kuwaunganisha waislamu wote na kupanua uwigo wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa huduma za kijamii na ameahidi kuwa serikali ya awamu ya tano itaunga mkono juh...
Marekani: Obama aendelea kumshambulia Donald Trump Imechapishwa: Ikiwa imsalia wiki moja kabla ya uchaguzi wa rais nchini Marekani, rais wazamani wa nchi hiyo Barack Obama anaendelea na kampeni kwa niaba ya makamu wake wa zamani Joe Biden. Katika kampeni yake huko Orlando, Florida Jumanne wiki hii, Barack Obama alilaum...
Kila kitu tunachokifanya huathiri miili yetu kwa njia moja au nyingine, kiwe kinahusiana na chakula, madawa, vinywaji, mazoezi, kustaarabika au matumizi ya vifaa vya teknolojia. Ubongo ni sehemu muhimu katika mwili wa binadamu, kwani unadhibiti mpigo wa moyo, usawa na usambazaji wa maji na damu mwili, usawa wa homoni n...
Hakuna sababu ya kuzikosa 25M/= Fainali ya Kombe la Tusker kati ya Yanga na Mtibwa Sugar itakayopigwa Jumamosi katika Uwanja wa CCM Kirumba inatarajiwa kuwa kali na ya kusisimua kwani mshindi atajiondokea na 25M/= Mtibwa ambayo msimu huu tayari imefungwa mara tatu na Yanga, inatarajiwa kuonyesha upinzani mkali ilihali ...
Haki na wajibu wa watu wote nchini Uswidi Rättigheter och skyldigheter för alla i Sverige – swahili Kwenye ukurasa huu unaweza kusoma maelezo kuhusu haki zako kama mwananchi wa Uswidi, na pia wajibu wako kwa wengine. Muhtasari - Uswidi ni nchi ya kidemokrasia yenye ufisadi mdogo ambapo watu wote ni sawa mbele ya sheria...
Mbio - aina maalum ya vita ambayo awakens katika mtu adrenaline na msisimko. mchezo wa kompyuta jamii ni moja ya michezo ya msingi na maarufu zaidi katika historia ya sekta ya michezo ya kubahatisha. Kids Michezo Online racing si sehemu ndogo ya michezo yote racing, mara nyingi pia kucheza kama watu wazima. Wavulana na...
Habari za Punde za Gor Mahia Miongoni mwa habari hizi ni klabu ya Manchester United kudaiwa kurogwa, Chelsea kushinda taji la klabu bingwa duniani, vurugu kuzuka katika mechi ya Gor Mahia Mabingwa wa Ligi Kuu ya Kenya Gor Mahia wamefuzu kwa raundi ya pili ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) baada ya kuwapokez...
Mabao ya Ivory Coast yamefungwa na nyota Frank Kessie na Sebastian Haller huku bao la Nigeria likifungwa na mlinzi Troost Ekong huku Super Eagles ambao ni washindi wa pili wameondoka na Dola Milioni 4 (4,000,000) zaidi ya Bilioni 10.1 kwa fedha za Kitanzania Upande mwingine, Golikipa Ronwen Williams wa Afrika Kusini am...
|Nadir Haroub 'Cannavaro'| NAHODHA wa klabu ya Yanga na mfungaji wa bao pekee la Yanga wakati wanaizamisha Coastal Union nyumbani Mkwakwani Tanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amemuomba radhi askari aliyemkimbilia na kumkumbatia dakika chache baada ya kufunga. Cannavaro alifunga bao hilo katika dakika ya 11, Jumatano iliy...
FPCT YAKUTANA NA BODI YA ELIMU - Category: Education - Date: 11-09-2021 Juni 28, Katibu Mkuu wa FPCT Mch. George Mwita alikutana na uongozi wa bodi ya Idara ya Elimu ya FPCT na Chuo cha Habari Maalum ofisini kwake jijini Dar es salaam. Lengo hasa la kikao hicho kilichodumu kwa takribani masaa 3, kilikuwa chenye lengo l...
Ofisi za Kanda ya Dodoma zipo katika Jiji la Dodoma na inaongozwa na Meneja wa Kanda. Kanda ilianzishwa kimkakati ili kuweza kuhudumia Mikoa ya katikati ya nchi ambayo ni Dodoma na Singida. Kanda ya Dodoma ina maghala yenye uwezo wa kuhifadhi tani 39,000 za nafaka, katika maeneo ya Kizota -Dodoma (tani 30,000), Manyoni...
Akiongea wakati wa kupokea bidhaa hizo, Mfamasia wa hospitali hiyo Bi.Shukuru Robert ameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuboresha huduma hospitalini hapo. Aidha ameipongeza wizara ya Afya chini ya Mhe. Ummy Mwalimu kwa uongozi na usimamizi thabiti wa sekta ya afya. Bi...
NA SAMMY KIMATU WAKAZI na waathiriwa katika tarafa ya South B ambao walipoteza nyumba, kazi na mali ili kupisha ujenzi wa barabara katika mpango wa Ajenda Nne Kuu za serikali ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, wanataka maelezo baada ya mradi kukwama. Kwa mujibu wa mkuu wa tarafa ya South B, Bw Michael Aswani Were, mradi w...
3.6 kwa maana katika hao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu, na kuchukua mateka wanawake wajinga wenye mizigo ya dhambi, waliochukuliwa na tamaa za namna nyingi; 3.7 wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.
Kalanchoe Kalandiva mmea wa kawaida kwa sababu ya unyenyekevu wake na maua ya muda mrefu. Nchi Kalanchoe ni Afrika, ina mapambo na dawa. Aina hii pia huitwa Kalanchoe Kalandiva mini, na kwa ujumla kuna aina zaidi ya 200 za mimea duniani. - Maelezo ya Kalanchoe Kalandiva - Masharti ya Kalanchoe Kalandiva - Taa za kukua ...
alisema pande zote mbili UNK jamhuri ya muungano zina nguvu sawa hivyo kinachotakiwa ni viongozi UNK alikuwa UNK amchome sindano daktari wa hospitali ya mkoa wa rukwa iliyopo mjini hapa daktari UNK UNK UNK kisu tumboni na mgonjwa wakati akijaribu kumshawishi amchome sindano
KUJIFUNZA tabia mpya kunaweza kuwa kazi ngumu kama ilivyo kujaribu kuacha tabia usiyoipenda. Sababu ni kwamba mwili, kama ulivyo ufahamu wa mtu, unapenda kufanya kilichozoeleka. Nakumbuka nilipoazimia kuanza kufanya mazoezi kila siku alfajiri nilipata shida kuzoea. Ilinichukua muda mrefu kidogo mazoezi kuwa sehemu ya m...
wachezaji hao walifungiwa na kamati ya utendaji ya klabu hiyo baada ya kugundulika wanachochea mgomo wa mazoezi wakati timu hiyo ikijiandaa na ligi kuu tanzania kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo wachezaji hao wameachiwa kwa masharti ya kutorudia utovu wa nidhamu
Taswira ya 3D bei Je, unatafuta mbunifu wa utoaji wa 3d? Tuna wasanifu 16.219 katika aina hii. Tuma uchunguzi. Je, taswira ya 3D inagharimu kiasi gani? Katika taswira ya 3D, mara nyingi tunatoa huduma zifuatazo: Uundaji wa 3D, taswira za usanifu na bidhaa. Bei za muundo wa 3D ni karibu euro 125-370 kwa kila mradi. Kipe...
Zijue Aina za Ugumba kwa Wanawake / Wanaume UGUMBA ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanakutana kimwili bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi kwa muda wa miezi 12 kisha kutoweza kupata ujauzito. AINA ZA UGUMBA Ugumba wa asili – Hii ni pale inapotokea mwanaume na mwanamke hawajawahi kut...
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa Android kwa muda, nadhani, unafahamu Wijeti, na jinsi ya kuziongeza kwenye skrini ya kwanza. Wijeti ni njia ya haraka ya kupata taarifa muhimu bila kufungua programu. Baada ya kuangalia mahitaji yanayoongezeka ya wijeti, kama ilivyo sasa hivi, wasanidi programu wanabuni na kuunganisha wijeti n...
- India inakumbana na ugonjwa wa ajabu ambao umesababisha zaidi ya watu 400 kulazwa hospitalini - Kifo kimoja pekee kimeripotiwa kutokana na ugonjwa huo na kuzua wasiwasi - Ugonjwa huo uligunduliwa mara ya kwanza wikendi mjini Eluru, ambao ni mji wa zamani katika jimbo la Andhra Pradesh Habari Nyingine: Ujumbe wa mwish...
| | Karibu Sabbath Light Ministry | | Papa Francis apiga marufuku uuzaji wa sigara Vatican (11/12/2017) “Papa Francis ameagiza marufuku ya uuzaji wa sigara ndani ya Vatican , kuanzia mwaka ujao. Msemaji wa Vatican Greg Burke alisema kuwa mji huo mtakatifu hauwezi kukubali na kitendo ambacho kinahatarisha maisha ya bina...
Tukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama profesa lipumba watu huhamaki na hata kutukana, lakini kubwa tujiulize ni nani asiyejua kuwa lipumba ndiye mkombozi wa siasa...
Baada ya siku tatu kupita toka Mahakama ya juu nchini Kenya itangaze kufuta matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Kenya uliyofanyika August 8 2017 na Rais Uhuru Kenyata kufanikiwa kuibuka mshindi mbele ya Raila Odinga, leo tume ya uchaguzi Kenya IEBC imetangaza tarehe ya uchaguzi mpya wa marudiano.Kwa mujibu wa katiba ya Kenya m...
“SIKU kama ya leo mimi mwenzenu tangu asubuhi nasikia sauti ya mtangulizi wangu Dk John Magufuli na maono yake ya kuifanya Dodoma kuwa Makao Makuu, nami nawaahidi tunakwenda kukamilisha mradi huu kama alivyotaka uwe.” amesema Rais Samia Suluhu, leo Februari 9, 2022, akiweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya mzunguko...
HP Multifunction LaserJet 3055 inahitaji madereva sambamba kufanya kazi vizuri na mfumo wa uendeshaji. Ufungaji wao unaweza kufanywa kwa njia moja ya tano zilizopo. Kila chaguo hutofautiana katika algorithm ya vitendo na yanafaa katika hali tofauti. Hebu tuangalie wote kwa utaratibu, ili uweze kuamua juu ya bora na kue...
nnatafuta kibanda kidogo kisichozidi 1sqm ukubwa ndani kwa ndani kwa ajili ya kufanya biashara km vouchers, tigopesa. ninahitaji kwa ajili ya kukodi sio kununua. kama unacho nicheck whatsapp 0655123695. kiwe maeneo kati ya mwenge na bunju, kwa sababu gharama ya kukifikisha eneo la tukio ni yako. vinaweza hitajika zaidi...
3 na 4. 404. Mheshimiwa Spika, jumla ya Shilingi 572,604,616,096.20 ni fedha za Mfuko wa Barabara ambazo zimetengwa kwa ajili ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). Fedha hizo zitatumika kufanya
Ikiwa na gharama ya dola mia hamsini za kimerekani kwa ajili ya kukagua ubora wa hewa kwenye jiji la Kampala. Wapiganaji wa kundi hilo walikimbilia Uganda baada ya kuzidiwa watu waliyokufa kwenye meli walikuwa takiribu watu elfu moja mia tano
Vyenye nishati kidogo na visiwe vimeongezwa sukari ya kutengenezwa Waliohamishiwa katika hifadhi hii kama Sokwe na Tembo Raia wa Uingereza na Mwenyekiti wa kampuni ya ndege aliyeitwa bwana herri William
10 nilipolia na kuiadhibu roho yangu kwa kufunga, ikawa laumu juu yangu. 11 nilipofanya gunia kuwa nguo zangu, nikawa mithali kwao. 12 waketio langoni hunisema, na nyimbo za walevi hunidhihaki.
Kazi ni kazi hapa kija huyu akiwajibika kutembeza kofia biashara hii ndio inayo muingizia kipato VITA DHIDI YA UMASIKINI !! Mwanamke huyu sio mwizi nimfanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga hapa akikabiliwa na mgambo wajiji la Dar Vita dhidi ya umaskini polisi pia wakiwakamata wafanya biashara wenye mitaji mi...
MCH. SYLVESTER KOMBA KUTOKA DODOMA ASHANGAZA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI YA UFUNGUZI WA SEMINA YA CROSSOVER 2016 Sanga Rulea 6:03 AM 0 Hii ilifanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" ambapo Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na Bishop Danstan Maboya waliweza kufungua rasmi semina hiyo inayoend...
maridhiano yaliofikia copen hagen ilikuwa ni hatua moja wapo ya kwanza kuzibana nchi zile Urusi kama nchi ya pekee ilianza polepole pale ambako makabila ya wasemaji wa Kislavoni ugawaji ya pesa itakayotoka kwa mali ya aa