content stringlengths 1k 24.2k | category stringclasses 6
values |
|---|---|
SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imeagiza kukamatwa kwa mkulima wa pamba wa kitongoji cha Mlimani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu watumishi watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Tabora- Uyui kwa tuhuma za kuvunja sheria na kudhoofi sha kilimo cha zao hilo.Agizo hilo lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora jana, Aggrey Mwanri wa... | kitaifa |
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema hajapoteza matumaini ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) licha ya timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Lesotho.Aidha, matumaini ya Stars kufuzu pia yanaungwa mkono na wadau mbalimbali wa soka n... | michezo |
UGANDA inahitaji pointi moja ifuzu hatua ya 16 ya michuano ya fainali za Kombe la Mataifa Afrika, Afcon 2019, inayoendelea nchini Misri. Sare ya bao 1-1 na Zimbabwe imeifanya Uganda kufikisha pointi nne, nyuma ya Misri yenye pointi sita baada ya kuifunga Congo DR mabao 2-0.Uganda inacheza mechi yake ya mwisho dhidi ya... | michezo |
KOCHA wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike ametangaza kikosi cha wachezaji 32 watakaosafiri kuelekea Misri leo, Ijumaa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).Nyota Ibrahim Ajibu na Jonas Mkude hawakujumuishwa katika kikosi hicho. Orodha ya wachezaji hao inajumuisha makipa Aishi Manula (Simba SC),... | michezo |
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga ni kama wamewasha taa kuelekea katika mchezo wao dhidi ya Zesco United ya Zambia baada ya kumaliza ziara yao ya Mwanza kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Toto Africans kwenye uwanja wa Nyamagana Mwanza jana. Mchezo huo ulikuwa wa pili wa kir... | michezo |
Maonesho ya mwaka huu yatafunguliwa rasmi Ijumaa ijayo na Rais Jakaya Kikwete huku kukiwa na banda maalumu la masuala ya elimu kumwezesha kujua vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi na kupata wafadhili.Siku hiyo ya jana baadhi ya washiriki waliendelea kupanga bidhaa zao katika mabanda huku wengine wakimalizia ukarabati... | uchumi |
KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City Idd Selemani (pichani) amesema timu yoyote iwe Simba au Yanga ikimuhitaji ijitokeze kufanya naye mazungumzo. Mchezaji huyo mkataba wake unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu ambapo alisema hakuna timu yoyote aliyofanya nayo mazungumzo mpaka sasa.Akizungumza juzi, Selemani alisema ... | michezo |
MKUU wa Mkoa wa Morogoro Dk Kebwe Stephen Kebwe amewatahadharisha Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo vilivyotolewa na Rais John Magufuli vinawafi kia walengwa na si vinginevyo.Dk. Kebwe alitoa maagizo hayo wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vitambulisho 25,000 vya wafanya bia... | kitaifa |
Taarifa hiyo imetolewa siku chache baada ya kampuni hizo mbili kusaini makubaliano ya kufungua soko la kitanzania kwa Interair na kulifufua soko la Afrika ya Kusini kwa ATCL kwa kupitia safari zitakazofanyika siku za Jumatatu, Jumatano na Ijumaa, ikiwezeshwa na ushirikiano huo.Akizungumza na waandishi wa habari jijini... | uchumi |
BAADA ya jana kuanza kwa michezo kadhaa katika Kombe la Mapinduzi linalofanyika kisiwani Zanzibar, Azam FC leo itashuka dimba la Aman kukipiga na timu ya Jamhuri.Azam FC ndio bingwa mtetezi wa michuano hiyo, ikibeba mara mbili mfululizo, ambapo sasa inasaka nafasi ya kulitwaa kabisa endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa. ... | michezo |
MWENYEKITI wa kamati ya hamasa kwa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars, Paul Makonda amesema ahadi ya kupewa sh milion 10 kwa kila mchezaji imeanza kufanyiwa kazi na kila mmoja atapata fedha zake kama walivyoahidiwa.Kabya ya machi kati ya Taifa Stars na timu ya taifa ya Uganda 'The Cranes' Makonda aliahidi kwamba, enda... | michezo |
HATIMAYE Tanzania imepata nafasi mbili za juu za uendeshaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel Tanzania kutokana na makubaliano yaliyofi kiwa baina ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Bharti Airtel International juu ya uendeshaji wa kampuni hiyo.Hatua hiyo ilibainika Dar es Salaam jana baada ya Rais John Magufu... | kitaifa |
Katibu Mkuu wa EAC, Dk Richard Sezibera alisema mjini Nairobi, Kenya juzi kwamba uhuru wa kufanyakazi, uhamishaji wa mitaji na bidhaa ndani ya nchi wanachama utawezesha raia ndani ya kanda kunufaika na itifaki hiyo ipasavyo.“Sheria zote za kitaifa hazina budi kuoanishwa ili kuhakikisha kwamba EAC ambayo imebahatika ku... | uchumi |
TANZANIA jana ilifuzu hatua ya makundi ya mbio za kusaka nafasi ya kucheza fainali ya Kombe la Dunia 2022 Qatar baada ya kuichapa Burundi kwa penalti 3-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijin Dar es Salaam. Hatua hiyo ya kupigia mikwaju mitano kwa mi tano ya penalti ilikuja baada ya timu hizo kumaliza... | michezo |
WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wameshauriwa kupunguza uzalishaji na matumizi ya vitu vinavyozalisha taka, zisizokuwa za msingi ili kuepuka kulipa faini na pia kuepusha uchafuzi wa mazingira.Mkuu wa Idara ya Udhibiti Taka na Hifadhi ya Mazingira ya Jiji hilo, Shedrack Maximilian amesema utafiti mdogo uliofanyika umeon... | kitaifa |
WAKATI timu ya soka ya taifa ‘Taifa Stars’ ikitarajiwa kushuka dimbani kesho kuwakabili Burundi katika mchezo wa marudiano wa kufuzu Kombe la dunia, viingilio vya kwenda kuitazama mechi hiyo vimetajwa kuwa ni sh 2,000. Katika mkutano na waandishi wa habari jana kati ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kamati Ndogo... | michezo |
SERIKALI imeamua kuifumua Sheria ya Uvuvi Namba 22 ya mwaka 2003 na Kanuni zake za mwaka 2009 ili kuondoa vikwazo vya kibiashara na uwekezaji katika sekta ya uvuvi.Hatua hiyo itawezesha kwenda na kasi ya mabadiliko ya serikali ya awamu ya tano inayolenga kujenga Tanzania ya viwanda na kuwatetea na kuwalinda wanyonge.A... | kitaifa |
SERIKALI imetoa shilingi milioni 400 kwa ajili ya uboreshaji wa Hospitali ya Wilaya ya Chunya na kuchangia ujenzi wa kituo cha afya cha Makongolosi wilayani humo mkoani Mbeya.Ahadi ya fedha hizo imetolewa na Rais John Magufuli kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Chunya ambapo alisema wilaya hiyo kwa sasa ina w... | kitaifa |
SIMBA imerudi kwenye ushindi baada ya kupoteza bao 1-0 kwa Mwadui wiki iliyopita, jana ilimalizia hasira kwa Mbeya City kwa kuichapa mabao 4-0. Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, City haikuwa na cha kujitetea, ilishindwa kutamba mwanzo mpaka mwisho wa mchezo huo na kujikuta ikizidi kug... | michezo |
SERIKALI ya Misri imeihakikishia Serikali ya Tanzania kwamba ujenzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji katika Maporomoko ya Mto Rufiji, utakamilishwa kwa wakati. Mradi huo wa kufua megawati 2,115, unatekelezwa kwa ubia kati ya Kampuni za JV The Arab Contracts na Elsewedy Electric, zote za nchini Misri.Naibu Waziri wa Nyu... | kitaifa |
Akizungumza katika kikao cha Mkutano Mkuu wa Chama Kikuu cha Wakulima wa Kahawa mkoa Kigoma (Kanyovu) mmoja wa wajumbe wa kikao hicho, Omari Mahwisa amesema kuwa utaratibu huo wa kuruhusu ununuzi holela wa kahawa unavuruga takwimu za uzalishaji wa zao hilo mkoani Kigoma.Mahwisa alisema uchunguzi umebaini kuwa sehemu k... | uchumi |
PRESHA ya mechi ya Yanga dhidi ya Simba inazidi kupanda kila kukicha na zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kupigwa kwa mechi hiyo, Yanga tayari wamejinasibu wameshapata dawa ya kuwazuia washambuliaji wa Simba, Meddie Kagere na Emmanuel Okwi.Kama ilivyokuwa katika mechi ya kwanza iliyoisha kwa suluhu, ndivyo beki wa k... | michezo |
WAZIRI wa Madini, Angellah Kairuki amesema wizara hiyo inajiandaa kuongeza maeneo yaliyopikwa na kuonekana yana madini kwa ajili ya wanawake kutoka asilimia 30 za sasa hadi asilimia 50.Akifungua Mkutano wa Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake Tanzania (TAWOMA), jijini hapa, Waziri Kairuki amesema pamoja na chama hicho... | kitaifa |
WAZIRI Mkuu, Kassimu Majaliwa amewataka viongozi wa serikali mikoani kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja. Pia amewataka mawaziri kuacha mtindo wa kufanya ziara katika mikoa, bila kuwapa taarifa wakuu wa mikoa.Waziri Mkuu alitoa onyo hilo, wakati akifungua mafunzo ya siku tano ya wakuu wa mikoa (RCs) na makatibu ta... | kitaifa |
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Asumpta Mshama amesema, wanataka Kibaha iwe Guangzhou kwa kuwa wanazalisha kila kitu.Guangzhouni ni mji maarufu kwa biashara nchini China.Mshama amesema ofisini kwake mjini Kibaha kuwa, ili kufanikisha hilo hadi mwaka 2022 au 2023 haitakuwa rahisi kuitofautisha Kibaha na Dar es S... | uchumi |
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Seif Ali Idd leo atakuwa mgeni rasmi katika ufun- gaji wa Tamasha la Nne la Utamaduni la Afrika Mashariki (JAMAFEST) kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa ratiba, Idd mbali na kuhutubia katika tamasha hilo, pia atakabidhi bendera kwa nchi itakayoandaa tamasha la ... | michezo |
SHIRIKISHO la Michezo ya Kareti Zanzibar limesema kushindwa kufanya uchaguzi kumetokana na kutopitishwa kwa katiba yao.Hayo yameelezwa na Kaimu Mwenyekiti wa shirikisho hilo Haji Kombo Faki alipozungumza katika kipindi cha mazungumzo ya asubuhi cha redio ZBC. Alisema kuwa shirikisho lao hilo lilifanya uchaguzi toka 20... | michezo |
['Manchester United inajitayarisha kumnyatia mshambuliaji wa Bournemouth mwenye umri wa miaka 27 Callum Wilson, aliyefunga mabao matatu katika mechi mbili zilizopita. (Sun)', 'Real Madrid, Barcelona na Liverpool wanataka kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Napoli Fabian Ruiz, mwenye umri wa miaka 23. (Mail)', ... | michezo |
BINTI mlemavu mwenye umri wa miaka 10, Sophia Yona mkazi wa Kata ya Membe Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, ambaye alikuwa akifungiwa ndani na kukosa fursa ya kwenda shule amejua kusoma na kuandika kutokana na kufundishwa na watoto wenzake.Akizungumza namna walivyomuibua binti huyo, Mwalimu wa kujitolea katika Shule y... | kitaifa |
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) iko katika mchakato wa kuanzisha Benki ya Maendeleo ya Wajasiriamali ambayo miongoni mwa majukumu yake itakuwa ni kutoa mikopo kwa makundi ya wakulima na wajasiriamali.Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Dk Makame Ali Ussi wakati akijibu swali la M... | uchumi |
WAKATI benki ya NMB ikitoa gawio la Sh bilioni 10.48, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amebainisha kuwepo wizi unaofanywa na baadhi ya watumishi wasio waaminifu wa benki na mitandao.Akizungumza wakati wa kupokea gawio la Serikali kutoka NMB jana jijini Dodoma, Dk Mpango amesema suala la uaminifu wa watumis... | kitaifa |
Kitoweo hiki ambacho pia ni maarufu kama ‘dagaa wa Kigoma’ huvuliwa katika mwambao mwa Ziwa Tanganyika katika wilaya za Kalambo na Nkasi mkoani Rukwa.Imeelezwa kuwa kilo ya dagaa kwa sasa inauzwa kwa Sh 20,000 kutoka Sh 8,000 miezi mitatu iliyopita, ikiwa ni bei ya rejareja baada ya kuadimika sokoni katika Mji wa Sumb... | uchumi |
MECHI za hatua ya nusu fainali za michuano ya kombe la Shirikisho la Azam, FA, zinaanza leo ambapo Azam FC itakuwa mwenyeji dhidi ya KMC kwenye uwanja wa Azam Complex saa 1.00 usiku.Mchezo huo unatarajiwa kuwa wenye ushindani mkubwa kutokana na ubora wa kila mmoja, lakini pia ni muhimu katika kutafuta nafasi ya kuingi... | michezo |
NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema serikali inazipitia leseni zote zilizotolewa na wizara hiyo kwa ajili ya utafiti na wawekezaji na ambazo hazijaendelezwa zitafutwa.Nyongo ametoa kauli hiyo wakati anajibu swali la nyongeza la Mbunge wa Tunduru Kusini, Daimu Mpakate (CCM) aliyetaka kujua serikali ina mp... | kitaifa |
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani humo ifi kapo Juni 30, mwaka huu, wawe wamekamilisha ununuzi wa mashine za kielektroniki za kukusanyia mapato.Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), Dk Mahenge alisema halmashauri zote saba zinatakiwa k... | uchumi |
BUNGE la 15 linaendelea na Mkutano wa bajeti wiki hii ambapo Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia na Wizara ya Maji zitawasilisha bajeti zao.Ratiba ya mkutano huo iliyotolewa na Ofisi ya Bunge wiki iliyopita baada ya kufanyiwa marekebisho madogo, inaonesha Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia itajadiliwa kwa siku ... | kitaifa |
WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Lindi umesema unafaa kwa uwekezaji mkubwa kwa kuwa umepiga hatua kubwa katika maendeleo ya miundombinu ya barabara zinazouunganisha na mikoa mingine nchini.Meneja wa Tanroads Mkoa wa Lindi, Isaa Steven Mwanawima amesema Lindi ipo tayari kwa uwekezaji.Alisema kutokana na j... | uchumi |
Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa anatarajiwa kuungana na wahitimu wengine wa shule kongwe ya Sekondari Ndanda ya Masasi, Mtwara kuitembelea shule hiyo Septemba 27, mwaka huu kwa ajili ya Siku ya Wahitimu wa shule hiyo iliyoanzishwa miaka 91 iliyopita.Mkapa alisoma Ndanda kwenye miaka ya 1950, ... | kitaifa |
Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo Kanda ya Mashariki, Tulole Bucheyeki alisema hayo hivi karibuni, mjini Morogoro katika kikao cha mpango kazi kilichowakutanisha wataalamu wa sekta ya kilimo hapa nchini. Mbegu za zao la mtama zinazofanyiwa utafiti na mradi huo ni aina ya pato, tegemeo, hakika, wahi na macia.Mratibu n... | uchumi |
Aidha, Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la mradi wa chuma Liganga na makaa ya mawe Mchuchuma kabla hajaondoka madarakani baadaye mwaka huu.Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda aliyasema hayo jana bungeni alipowasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/16.Dk Kigoda alivita... | uchumi |
MSHINDI watatu wa dunia wa mbio za meta 10,000 Rhonex Kipruto na bingwa wa Afrika wa mwaka 2016 wa meta 5,000, Sheila Chepkirui wamevunja rekodi za wanaume na wanawake za barabarani za kilometa 10 katika mashindano yaliyofanyika hapa. Kipruto mwenye umri wa miaka 20 alishinda mbio za Valencia Ibercaja za kilometa 10 z... | michezo |
WANANCHI wa Mkoa wa Pwani wametahadharishwa kujikinga na ugonjwa wa homa ya dengue ambao hadi sasa kuna wagonjwa 42 wanaougua ugonjwa huo. Hayo yamesemwa mjini Kibaha na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo kwenye kikao maalumu cha Kamati ya Ulinzi na Usalama na wadau mbali mbali wakiwemo Kamati ya Amani inayoundwa ... | kitaifa |
Viongozi wa juu wa Fifa wanatarajiwa kuwa nchini kwa siku tatu, kuanzia February 21 kwa ajili ya semina yao.Akizungumza na wahariri wa habari za michezo Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe alisema, ana matumaini makubwa rais atakutana na Infantino."Nina imani kubwa... | michezo |
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa PSP Mwezeshaji Consultancy, Protase Semuhomyi wakati akizungumza na wandishi wa habari juu ya ufugaji wa samaki kwa njia ya mabwawa na mafunzo yatakayoendeshwa kati ya Februari 2-6, mwaka huu.Alisema utafiti uliofanywa na Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO mwaka 2013, umebainish... | uchumi |
SIKU za mwizi ni arobaini wasemavyo wahenga, na juzi zilitimia kwa John Kapelele (35) anayedaiwa kuiba bata baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne “kumkabidhi kwa watu wenye hasira” ambao wanadaiwa kusulubu kwa kumpiga na kumsababishia umauti wake.Bata huyo aliyeibwa na kijana huyo anadaiwa kuwa na thamani ... | kitaifa |
WAFANYABIASHARA wa masoko ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameshauriwa kulipa kodi ya pango ya vibanda kwa wakati ili kuepukana na kufungiwa mabanda yao na hivyo kuwaathiri kibiashara.Aidha, wafanyabiashara hao wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na mikataba halali ya upangaji wa kwenye mabanda yao.Hayo yamesemwa na Ofis... | uchumi |
Waziri Salum alisema madai ya wamiliki hao kutaka ushuru upunguzwe kutoka asilimia 25 mpaka 10 ya zamani hayawezi kutekelezeka kwani ongezeko hilo linatokana na Sheria ya Fedha ya Mwaka 2015.“Mie kama Waziri siwezi kubadili sheria hii iliyotungwa na Bunge ila naweza kuwaruhusu kulipa kwa awamu,” alisema Waziri Salum w... | uchumi |
MGOMBEA wa nafasi ya mwenyekiti ndani ya Klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla amekuja na sera tano zitakazoleta mageuzi ya mfumo wa kisasa wa kiuendeshaji hususani kuweka misingi ya uwazi na uwajibikaji.Aidha ameahidi kama atapewa ridhaa na wanachama wa Yanga atajenga umoja na kurudisha timu kwa wananchi kwa kuimarisha m... | kitaifa |
NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Damas Ndumbaro amesema rushwa ni miongoni mwa sababu zinazochochea nchi nyingi za Afrika kukosa usalama na amani, kuwahimiza watanzania kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya rushwa.Dk Ndumbaro aliyasema jijini hapa wakati wa ufunguzi wa siku ... | kitaifa |
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amesema maonesho ya pili ya viwanda na kongamano la fursa za biashara na uwekezaji mkoani humo vinatarajiwa kugharamu shilingi milioni 730.5/-Ndikilo amesema jijini Dar es Salaam kuwa, kuna umuhimu kwa wadau kujitokeza kuyafanikisha ili yawe na tija kwa mkoa na taifa kwa ... | uchumi |
['Maafisa wa Paris St-Germain na Barcelona walikutana kwa mara ya kwanza kujadili kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa PSG Neymar, 27, lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa baada ya mazungumzo ya saa tatu. (Le Parisien)', 'Barca wanajiandaa kutoa ofa kwa PSG ya kitita cha pauni milioni 93 pamoja na mshambuliaji Philippe... | michezo |
MAMA Mzazi wa Rais John Magufuli, Suzana Magufuli, anapatiwa matibabu jijini Dar es Salaam kwa miezi mitatu sasa kutokana na maradhi ya kiharusi. Taarifa iliyotumwa jana kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa ilisema kuwa Rais Magufuli jana alifika kumjulia hali Mama yake kwen... | kitaifa |
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema kiongozi wa siasa ambaye enzi za uhai wake hakutumia nguvu katika kudai haki marehemu Mahatma Gandhi ni mfano wa kuigwa kutokana na maisha aliyoyaishi.Dk Mwakyembe aliyasema hayo wakati akifungua maonesho yajulikanayo kama ‘Mahatma Gandhi ku... | kitaifa |
Hali hiyo inatokana na kauli ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo juzi kuwa Tanzania inaingia kwenye uchumi wa gesi na hivyo ni lazima ishirikiane na nchi kama Algeria, ambayo imefanya vizuri katika sekta hiyo kwa takribani miaka 50. Algeria ambayo Waziri wake wa Nishati na Migodi, Youcef Yousfi yu... | uchumi |
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Magavana wa kaunti za ukanda wa Pwani ya Kenya na kubainisha kuwa Zanzibar ipo tayari kuimarisha ushirikiano uliopo baina ya pande mbili hizo.Lengo la mkutano huo ni kujadili mambo yenye mnasaba na maisha na shughuli za watu wa ukanda... | kitaifa |
SERIKALI imetaka wamiliki wa viwanda nchini kuwatumia wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kuzalisha bidhaa ambazo zinaagizwa nje na wenye viwanda hao kama malighafi.Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthon Mavunde kwa niaba ya Waziri wa Nchi O... | uchumi |
MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema katika kipindi cha wiki mbili za mwisho wa Aprili, mwaka huu, hali ya joto inatarajiwa kuwa ya kawaida katika maeneo ya Pwani ya Kaskazini na Nyanda za Juu Kaskazini Mashariki hususani katika kipindi cha uwepo wa mvua.Imesema maeneo mengi ya Nyanda za Juu Kaskazini Masharik... | kitaifa |
KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema bado yupo kwa wekundu hao na leo anatarajiwa kurejea Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Ruvu shooting.Aussems aliomba ruhusa kwa mabosi wake Simba kuwa anatoka kidogo na atarejea baada ya siku mbili kitendo kilichotafsiriwa tofauti na baadhi ya watu wak... | michezo |
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya amewaasa vijana kutumia elimu yao katika kusaidia taifa na kudumisha amani ya nchi. Aidha, amezitaka familia kudumisha amani, jambo ambalo litasaidia kuwepo kwa amani ya nchi.Askofu Mkuu Kinyaiya aliyasema hayo wakati wa mkesha wa kuzaliwa Yesu iliyofanyika ... | kitaifa |
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema serikali itaendelea kuvifungia na hata kuvifutia usajili vyuo vikuu ambavyo havikidhi masharti na taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa sheria.Alisema hayo jana mjini hapa akiwa Chuo Kikuu cha Utawala Kusini Mashariki mwa Afrika (ESAMI) wakati akihu... | kitaifa |
VIJANA 32 wanaoishi katika mazingira magumu, wamepatiwa elimu ya usindikaji vyakula na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoani hapa, kwa lengo la kutengeneza ajira kwa vijana ili waweze kujitegemea.Akizungumza wakati wa mahojiano mwishoni mwa wiki baada ya kufungwa kwa mafunzo hayo, Ofisa Maendeleo ya Biasha... | uchumi |
WABEBA nyama kwenye machinjio na mabucha watachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kutozwa faini ya Sh 100,000 au kifungo sio chini ya miezi mitatu au vyote viwili ikiwa watabeba nyama hizo mgongoni au kichwani bila kuziweka kwenye mifuko isiyopitisha vumbi.Kauli hiyo ilitolewa na Ofisa wa Jiji la Dodoma Abdallah Mahia ... | kitaifa |
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba inashuka katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo kucheza na Namungo FC ya Lindi ambayo imepanda msimu huu.Huu ni mchezo wa kwanza kwa timu hizo kukutana kwenye ligi kuu ingawa walishakutana kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Majaliwa, Lindi na kutoka... | michezo |
Airtel imejishindia tuzo hizo katika kipengele cha matumizi bora ya huduma za kimtandao kufikia wateja wake pamoja na kutoa huduma bora zinazokidhi mahitaji ya wateja katika sekta ya mawasiliano na kushinda kampuni nyingine zilizokuwa zikichuana nazo katika kinyang’anyiro cha tuzo hizo.Wakizungumza wakati wa kukabidhi... | uchumi |
Aidha, ameeleza kuwa pamoja na suala hilo pia watafanya utafiti kuangalia soko la betri na kiasi zinazoingia na zinazolipiwa ushuru na ikibainika kuwepo zinazoingia bila kulipiwa ushuru watachukua hatua.Chiza alisema hatua hizo na nyingine watazifanya kupitia Baraza la Taifa la Biashara kwa kuunda kamati maalumu na ku... | uchumi |
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewaongoza Wakenya kumuomboleza mwanasoka gwiji wa nchi hiyo, Joe Kadenge, 84, aliyefariki dunia juzi kwenye hospitali ya Nairobi. Uhuru amemuelezea Kadenge kama mtu aliyetumia kipaji chake cha soka kwa watu wa Kenya.“Kadenge aliwakilisha soka yetu safi alikuwa alama ya mchezo huo kwenye... | kitaifa |
Baada ya kuwasili jijini Warsaw, akitokea London Uingereza, Waziri Mkuu juzi jioni alikutana na wafanyabiashara zaidi ya 50 kwenye mkutano uliofanyika kwenye ofisi za Chama cha Wafanyabiashara cha Poland.Katika mkutano huo, Waziri Mkuu aliwaeleza mipango ya Serikali ya kuikwamua Tanzania kiuchumi huku akigusia sekta z... | uchumi |
['Mchezaji huyo wa Manchester City na Algeria Riyad Mahrez pamoja na mkewe Rita wameamrishwa kulipa zaidi ya £3,600 kama mshahara ambao hawakumlipa yaya wao wa zamani. ', 'Wanandoa hao walimkata fedha hizo mwanamke huyo kwa jina Catalina Miraflores bila idhini yake, aliamuru jaji wa mahakama ya ajira.', 'Pia wameag... | michezo |
WAKONGWE wa soka visiwani Zanzibar, timu ya Malindi wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la FA baada ya kuifunga timu ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa penalti 4-2.Mchezo huo wa fainali ulichezwa juzi Uwanja wa Amaan na kushuhudiwa na mashabiki kiasi waliofika uwanjani hapo, ambapo miamba hiyo ililazimi... | michezo |
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Yanga, leo jioni watakuwa na kibarua kigumu kuikabili Biashara United ya Musoma kwenye Uwanja wa Taifa katika mchezo wa Kombe la Azam (FA).Yanga wanaoongoza ligi kwa pointi 53, wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya kufanya vibaya kwenye michuano ya SportPesa baada ... | michezo |
UONGOZI wa Kiwanda cha Chumvi cha Itumbula katika Kata ya Ivuna wilayani Momba Mkoa wa Songwe, umesema utaanza uzalishaji mwishoni mwa mwezi huu ambapo chumvi yake itasambazwa ndani na nje ya nchi ambazo ni wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuongeza mapato ya halmashauri hiyo, mkoa na Taif... | uchumi |
Hayo yamesemwa na Diwani wa kata ya Mkuranga Mjini, Muhidini Abdallah kwa niaba ya Mbunge huyo kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa chama cha soka wilaya hiyo ulifanyika ukumbi wa Parapanda na kuhudhuriwa na wajumbe wa mkutano mkuu.Diwani huyo alisema wanadhamira ya kushirikiana na chama cha soka wilayani humo (MDFA) kwa a... | michezo |
TIMU ya Maafande wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo, KMKM SC, imepanga kuweka kambi Morogoro kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CD de Agosto ya Angola. Kama KMKM watawatoa wapinzani wao hao kutoka Angola watakutana na mshindi wa mechi kati ya Green Eagles ya Zambia na Orlando Pi... | michezo |
Aidha, imesema imejipanga kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato ya ndani ili kuiwezesha nchi kujiendesha yenyewe na kuacha kutegemea misaada ya wahisani.Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango aliyasema hayo Dar es Salaam mwishoni mwa wiki alipokutana na wabunge wa Sweden kuzungumzia ushirikiano baina Tanzania na Sw... | uchumi |
“Mheshimiwa Spika baadhi ya watu wametutaka kubinafsisha zao la karafuu kuingia katika soko huria kama mazao mengine...tumekataa kufanya hivyo kwa lengo la kulinda wakulima wetu na uchumi wa taifa,” alisema.Alisema Serikali imebinafsisha baadhi ya mazao ikiwemo mbata na mwani kwa wafanyabiashara binafsi lakini matokeo... | uchumi |
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Steven Massele ameingia matatani baada ya kufutiwa kwa muda uwakilishi katika Bunge hilo kutokana na utovu wa nidhamu alioonesha Bungeni Afrika Kusini.Katika hatua nyingine, Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ukaguzi wa hesabu za Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa S... | kitaifa |
MABINGWA watetezi wa Kombe la Cecafa Kagame, Azam FC leo watacheza na TP Mazembe ya Congo DR katika mchezo wa robo fainali wa mashindano hayo yanayoendelea mjini hapa.Mbali na Azam na TP Mazembe, timu za KCCA ya Uganda na wenyeji Rayon ya Rwanda nao watakutana leo katika mchezo mwingine wa robo fainali utakaofanyika k... | michezo |
Kiwanda hicho ambacho kitatumia rasilimali ya gesi asili na miamba ya matumbawe (coral reefs) iliyopo wilayani Kilwa, kitajengwa kwa ubia kati ya Tanzania na nchi za Denmark, Ujerumani na Pakistan, na kitakuwa na uwezo wa kuzalisha tani 3,800 za mbolea kwa siku.Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Egon Kochanke na Balozi ... | uchumi |
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafi ri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imesema hakuna mgomo wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani leo kama taarifa zilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii tangu Jumapili iliyopita.Hayo yalibainishwa jana Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Lameck Kamando kwenye mkutano wake ... | kitaifa |
IDADI ya raia wa Tanzania waliokuwa wakihamisha mali na mazao utoka kijiji cha Mtole nchini Msumbiji kilichopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji imepungua baada ya serikali kutoa siku tatu kwa Watanzania hao kuhamisha mazao hayo ndani ya siku hizo.Kazi hiyo ilikamilika jana kwa Watanzania hao na hali hiyo imekuja mara ... | kitaifa |
RAIS John Magufuli amesema amefurahishwa na umoja wa madhehebu mbalimbali yaliyokusanyika pamoja katika Ibada ya kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya, Mhashamu Askofu Mkuu, Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga iliyofanyika katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya jana.Pia amesema Serikali ya Awamu ya Tano ... | kitaifa |
Shughuli ya utiaji saini makubaliano ya mikopo kati ya benki hiyo na vikundi hivyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika kijiji cha Igomaa, wilayani Mufundi, mkoani Iringa katika hafla iliyohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza.Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa benki hiyo,... | uchumi |
MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame Azam Fc imeingia nusu fainali ya michuano hiyo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya TP Mazembe ya Congo DR katika mchezo wa robo fainali uliochezwa mjini Kigali jana.Ushindi huo ni dalili tosha kwa timu hiyo kwamba imekusudia kuchukua tena ubingwa huo ambao wanaushikilia kwa misi... | michezo |
MAJONZI jana yalitawala kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam baada ya Simba kutolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika, licha ya kutoka sare ya bao 1-1 na UD do Songo ya Msumbiji.Simba imetolewa kwa kanuni baada ya kutoka suluhu na Ud Songo katika mchezo wa mwanzo uliofanyika Beira, Msumbiji na jana... | michezo |
Mkutano huo ambao pia kampuni 50 za Ufaransa zitashiriki zikiwamo kampuni kubwa kama Total, Airbus, Sogea Satom na Alstom, kutakuwa na majadiliano mbalimbali kati ya wafanyabiashara wa Ufaransa na Tanzania ili kuona wapi taifa hilo linaweza kushiriki katika uwekezaji.Taarifa ya kuwapo kwa mkutano huo ilitolewa na Balo... | uchumi |
MICHUANO ya mabenki kwa mpira wa kikapu (Bankers Basketball League – BBL 2018), imezidi kushika kasi, ambako mwishoni mwa wiki kikosi cha NMB kiliichapa CRDB kwa pointi 52-42.NMB chini ya Kocha Mkuu Evarist Mapunda, ilitawala kwa kiasi kikubwa pambano hilo lililofanyika kwenye Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam... | michezo |
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo, alikuwa ni Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo. Uzinduzi huo pia ulihudhuriwa na wanafunzi wa shule za sekondari, walimu, viongozi mbalimbali wa mkoa na michezo Katika uzinduzi huo, Jafo alikabidhi vifaa vya michezo kwa timu za sekondari zilizokuwep... | michezo |
NAIBU Waziri wa Nchi, Ofi si ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Dk Mary Mwanjelwa amesema watumishi 4,160 walioondolewa katika mchakato wa kuwaondoa wenye vyeti feki wamebainika kuondolewa kimakosa au kwa uonevu na wamerejeshwa kazini.Dk Mwanjelwa aliyasema hayo bungeni jana wakati wa kujibu swali la Mbunge wa Musoma ... | kitaifa |
Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Filbert Bayi alisema jana kuwa, Dk Mwakyembe ataiaga timu hiyo katika hafla fupi itakayofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Awali, hafla hiyo ilitarajia kufanyika jana, lakini ilisogezwa mbele baada ya Mwakyembe kuwa mjini Dodoma kwa shughuli zingine za kikazi... | michezo |
['Harambee Stars ilitoka sare ya bila kwa bila dhidi ya Taifa Stars ya Tanzania katika awamu ya kwanza ya michunao ya kufuzu kombe la CHAN 2020 iliochezwa katika uwanja wa kitaifa wa Dar es Salaam siku ya Jumpili jioni. ', 'Kulingana na mtandao wa runinga ya Citizen nchini Kenya iIikuwa Tanzania iliopata fursa chungu n... | michezo |
TAARIFA za ukaguzi katika Jeshi la Polisi nchini zimebainisha kufanyika malipo ya jumla ya Sh milioni 888.5 ambayo yalilipwa kama posho ya resheni (posho ya kujikimu) kwa watumishi ambao sio askari polisi.Aidha, pamoja na ubadhirifu huo kufanyika mwaka 2016, hadi sasa watumiwa hawajafikishwa mahakamani ili kujibu tuhu... | kitaifa |
['Tottenham iko kwenye mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa timu ya taifa ya Cape Verde, Ze Luis, 28 kwa mkopo akitokea Porto.(Record - in Portuguese)', 'Inter Milan imekubaliana na kiungo Christian Eriksen, 27, kuhusu uhamisho wa kudumu mwezi huu, lakini Tottenham inataka timu hiyo ya ligi ya italia kutoa mara mbi... | michezo |
Alisema hatua hiyo itaenda sambamba na kupata masoko ya uhakika na bei iliyokuwa bora kwa wazalishaji hao wa madini.Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kusini Benjamini Mchwampaka aliyasema hayo leo wakati alipokuwa akizungumza na wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu, jasi, wazalishaji wa chumvi na madini ya ujenzi... | uchumi |
SERIKALI imepokea mashine 62 za kusafisha damu, kwa wagonjwa wa figo nchini zenye thamani ya Sh bilioni 1.5, hatua itakayowezesha kuongeza idadi ya mashine hizo nchini.Mashine hizo ni msaada kutoka Serikali ya Saudi Arabia, kupitia Kituo chake cha Misaada ya Kiutu kwa Binadamu King Salman Humanitarian Aid & Relief Cen... | kitaifa |
SERIKALI imemwagiza Mkuu wa Jeshi Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro, kutuma timu maalumu ya uchunguzi kutoka makao makuu ya jeshi hilo kwenda kuungana na timu ya wapelelezi ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe ili kuchunguza matukio ya mauaji ya watoto yaliyotokea hivi karibuni.Agizo la kupelekwa kikosi maalumu cha Polisi... | kitaifa |
WIZARA ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati imesema wananchi wa Zanzibar wataondokana na tatizo la majisafi na salama mwaka 2020, baada ya kukamilika kwa miradi muhimu, inayotekelezwa na serikali na washirika wake wa maendeleo.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati, Juma Makungu alisema hayo jana mjini Unguja, wa... | kitaifa |
UBANDIKAJI wa majina ya wakulima wote wa korosho kwenye mbao za matangazo katika vyama vyao vya msingi, waliolipwa fedha za mauzo ya zao hilo mkoani Mtwara, utaanza kesho ili kuondoa kauli ya kila mkulima kudai kuwa hajalipwa, jambo linaloichafua serikali.Akizungumza na gazeti hili jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa... | uchumi |
Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSTC, Mwanahija Almasi aliyasema hayo alipozungumza na gazeti hili kuhusu mageuzi yaliyofanywa na shirika hilo kwa zaidi ya miaka minne katika kuimarisha zao hilo na kuwa tegemeo kwa taifa.Almasi alisema mageuzi hayo yameifanya ZSTC kuzalisha tani za karafuu kutoka 10,485 hadi kufikia tani 14... | uchumi |
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, DK Harrison Mwakyembe ameuasa uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzingatia masharti ya mkataba walioingia na Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom kuwa mdhamini mkuu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Alisema kama watafanikiwa kutimiza matakwa ya mkataba ... | michezo |
Gazeti hili lilitembelea katika masoko ya Kisutu, Kariakoo, Tandika na Tandale juzi na jana na kushuhudia hali hiyo, ambapo kilo moja ya mchele katika soko la Tandale, ilikuwa ikiuzwa kwa Sh 1900 ikiwa ni bei ya juu na Sh 1000 kwa mchele wa bei ya chini kabisa.Katika soko la Kisutu, bei ya juu ya mchele ilikuwa wastan... | uchumi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.