content stringlengths 1k 24.2k | category stringclasses 6
values |
|---|---|
KOCHA wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema hajaridhishwa na maendeleo ya safu yake ya ulinzi baada ya kufungwa bao kwenye michezo minne mfululizo ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Akizungumza juzi kocha huyo alisema licha ya kufanikiwa kutinga kwenye hatua ya 16 bora ya Kombe la FA baada ... | michezo |
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Steven Massele ametinga viwanja vya Bunge jana saa 4.30 asubuhi, kuingia kwenye ukumbi wa Bunge na baada ya muda alienda ukumbi wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka kuhojiwa.Mbunge huyo alikuwa akienda kujibu tuhuma za utovu wa nidhamu na kugonganisha mihim... | kitaifa |
KWA nusu ya mwaka wa fedha 2018/19, halmashauri zote nchini zimekusanya Sh bilioni 300 sawa na asilimia 41 ya makisio, na Jiji la Dodoma limeongoza upande wa majiji kwa kukusanya asilimia 59.Iringa ikiongoza kwa upande wa manispaa ikikusanya asilimia 64, Geita TC ikiwa kinara kwa miji ikikusanya kwa asilimia 84 na Dar... | kitaifa |
WATENDAJI wa Wizara ya Fedha na Mipango, wametakiwa kuwafuata wastaafu mahali walipo na kuwasaidia, badala ya kuwalazimisha kufika makao makuu ya wizara hiyo, wakati kuna Hazina Ndogo katika mikoa yao.Akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Naibu Waziri wa wizara hiyo, Dk Ashatu Kijaj... | kitaifa |
VIONGOZI wa mila ya jamii ya kifugaji ya kimasai maarufu kwa jina la Laigwanani kutoka katika wilaya nane za mikoa ya kanda ya kaskazini na wafugaji zaidi ya 150, wamemzawadia Rais John Magufuli ngo’mbe dume ikiwa ni ishara ya kuongoza nchi kizalendo na kusimamia haki kwa wanyonge.Viongozi hao wamejitokeza katika ofis... | kitaifa |
MCHUNGUZI Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Frank Mkilanya ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia Hanspoppe, alimueleza kuwa alitumia Dola za Marekani 32,316.64 kulipia malipo ya awali wakati wa ununuzi w... | michezo |
Bodi ya Kimataifa ya Chama cha Soka, ambayo inashughulikia sheria za mchezo huo, ilikutana Jumamosi kuamua kama wanaweza kuimarisha teknolojia hiyo kwa kudumu.Ikiwa itaweza, baadaye kamati ya Fifa itatumia mfumo huo katika Kombe la Dunia. Lakini rais wa Uefa, Aleksander Ceferin alisema:"Mashabiki wakati wote wanaona s... | michezo |
.Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa rai kwa Mawaziri wa Mazingira, Maliasili na Utalii wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kuwashirikisha Wananchi katika mikakati iliyopo ya kutunza mazingira.Akifungua mkutano wa Mawaziri wa sekta ya Mazingira, Maliasili na Utalii wa kutoka nchi... | uchumi |
KIWANDA cha kuzalisha viuadudu wa viluwiluwi vya mbu cha Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), kimepata soko la kuuza dawa hiyo nje ya nchi kwenye nchi za Afrika zikiwemo nchi zote za Jumuiya ya Maendeleo, Kusini mwa Afrika (SADC).Akizungumza na HabariLeo kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa kuhusu soko hilo,... | uchumi |
Akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa majukumu kwa Kamati ya Fedha, Kilimo na Biashara ya Baraza la Wawakilishi (BLW), Zanzibar katika Tawi la ZSTC lililopo ‘Al-Qusais Industrial Area’ Dubai, mshauri huyo alisema wananchi wa Dubai na wengineo kutoka katika sehemu tofauti wanaotembelea nchi hiyo kibiashara wamekuwa wak... | uchumi |
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Ali Kidwaka amesema katika mwaka wa fedha uliopita, halmashauri ilivuka lengo kwa kukusanya asilimia 119 ya mapato kutoka kwa wachimbaji wadogo wa madini.Ameyasema hayo katika mazungumzo na timu ya waandishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) ambayo imejichi... | uchumi |
MKOA wa Morogoro kwa sasa unakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madarasa 274 ili kuwezesha kuwapokea wanafunzi wote 37,111 waliofaulu kuanza masomo kidato cha kwanza mwakani.Aidha, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ndio inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya upungufu wa vyumba ambayo ni 69, ikifuatiwa na Mvomero. Of... | kitaifa |
WAWAKILISHI wa Rwanda katika mashindano ya Kombe la Shirikisho la Afrika hatua ya makundi, Rayon Sports imepania kupata ushindi wake wa kwanza wakati kesho itakapocheza dhidi ya timu ya Algeria ya USM Alger mjini hapa.Timu hizo mbili hazijawahi kukutana katika mashindano yoyote. Baada ya kutoka sare mara mbili dhidi y... | michezo |
['Inter Milan imekubali mkataba wa mkopo kwa uhamisho wa mchezaji wa kiungo wa mbele Alexis Sanchez kutoka Manchester United.', 'Mkuu wa Inter Antonio Conte ana hamu ya kumsajili Sanchez kabla ya kufungwa kwa dirisha la uhamisho Ulaya Jumatatu.', 'Iwapo makubaliano yatakamilishwa , Sanchez atajumuika na aliyekuwa mchez... | michezo |
ZIKIWA zimepita siku tano tangu ilipoanza operesheni kali ya kukamata wanaoghushi risiti za kielektroniki (EFD) Kariakoo jijini Dar es Salaam, sasa imeanza kufanyika nchi nzima.Maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA) wanafanya msako mkali kubaini wanaoiibia Serikali.Hatua hii inakuja siku chache tu tangu gazeti hili lilipo... | uchumi |
MWIGIZAJI wa filamu nchini Wema Sepetu ameiomba radhi Serikali, Bodi ya filamu, familia, mashabiki wake na watanzania kwa ujumla kutokana na makosa yake ya kusambaza video zake chafu kwenye mitandao ya kijamii.Tangu wiki iliyopita kumekuwa na video chafu za faragha zinamuonyesha Wema akiwa na mwanaume zikisambaa kweny... | michezo |
TANZANIA na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) zimekubaliana kuendelea kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi, ikiwa ni pamoja na kushirikiana katika masuala ya usalama wa eneo la Ghuba na bahari ya Hindi pia kusaidia kuimarisha hali ya usalama katika nchi za Somalia na Sudan.Hayo yamebainika wakati wa ziara ya W... | kitaifa |
TAKRIBANI wiki mbili, Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, limekamata zaidi ya kilo 560 za dawa za kulevya aina ya mirungi ikiwa kwenye magari matatu na pikipiki moja.Kukamatwa kwa dawa hizo kumetokana na Polisi kubaini mbinu mpya za usafirishaji wa dawa hizo ikiwemo kutumia mabegi ya wanafunzi.Wasafirishaji wamekuwa w... | kitaifa |
UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART), Robert Kisena (46) na wenzake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam umeutaka upande wa mashitaka kukamilisha upelelezi ili hatua nyingine ziweze kuendelea.Wakili wa Utetezi... | kitaifa |
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba SC, Patrick Aussems amekiri Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu huu inaushindani mkubwa kutokana na timu nyingi kupata matokeo nje ya viwanja vyao vya nyumbani.Aidha, kocha huyo ameivulia kofia timu ya Tanzania Prisons inayoshikilia rekodi ya kutofungwa hadi sasa ikifikisha mchezo wa raundi ya... | michezo |
VYOMBO vya habari na jamii kwa ujumla wameaswa uhuru wa habari usitumiwe kama kichochoro cha baadhi ya watu kutukana na kudhalilisha wengine, wakiwemo viongozi.Mwito huo ulitolewa bungeni wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iliyowasililishwa mwishoni mwa wiki na Waziri Harrison M... | kitaifa |
WATU saba wamekufa na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani, iliyotokea mkoani Singida.Miongoni mwa waliokufa watano ni wafanyakazi wa Azam Media Limited.Ajali hiyo ilitokea jana saa 2:30 asubuhi katika eneo la Kizonzo lililopo katikati ya Wilaya ya Igunda mkoani Tabora na Shelui mkoani Singida, ambapo ... | kitaifa |
SPIKA wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), Martin Ngoga amesema nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) lazima zihakikishe zinatimiza Azimio la Malabo la kutenga asilimia kumi kwa ajili ya wakulima wadogo ambao ndio wanaobeba nchi katika suala zima la akiba ya chakula.Spika Ngoga ameyasema hayo wakati aki... | kitaifa |
LIGI Kuu ya soka ya wanawake msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza leo ambapo Simba Queens na Yanga Princess zitakuwa kwenye viwanja tofauti kuanza kampeni zake. Timu 12 zinashiriki ligi hiyo ambayo taji lake linashikiliwa na JKT Queens.Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Simba itakuwa... | michezo |
IMEELEZWA kuwa uwepo wa weupe kwenye mboni ya jicho la mtoto au kengeza ni moja ya dalili za saratani ya jicho hivyo, wazazi waonapo dalili hiyo wanapaswa kuwapeleka watoto wao hospitalini haraka.Kati ya vizazi hai 16,000 hadi 18,000 duniani asilimia moja huwa na saratani hiyo ambayo huchangia asilimia tatu ya saratan... | kitaifa |
WANAHABARI wametakiwa kufanya kazi zao kwa weledi na kusaka vyanzo tofauti katika habari zao badala ya kuegemea chanzo kimoja.Hayo yalielezwa leo katika uzinduzi wa machapisho ya matatu ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), ambayo ni ripoiti ya hali ya tasnia ya habari nchini ya mwaka 2017/2018 iliyoandikwa na Dr. Joyce... | kitaifa |
TANZANIA imeendelea kung’ara kwa kuongoza kuwa nchi ya amani zaidi Afrika Mashariki (EAC).Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya Global Peace Index (GPI) iliyotolewa na Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP) yenye makao yake makuu mjini Sydney, Australia.Ripoti hiyo iliyotolewa wiki iliyopita, inaonesha Tanzania imeshika nafasi ya... | kitaifa |
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda amesema Serikali haitoruhusu kusafirisha korosho ghafi kwenda nje ya nchi na badala yake itaingia makubaliano na wabanguaji ili shughuli ya ubanguaji ifanyike kwani itasaidia kujenga heshima ya ajira na viwanda kwa watanzania.Kakunda ametoa msimamo huo mkoani Mt... | uchumi |
WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko ameagiza kuwafutia leseni wafanyabiashara wa madini, wanaotumia leseni moja ya madini kufanya biashara ukoo mzima.Aidha, ameshangazwa na watu wachache wenye mtandao wa kuiba madini, wakitorosha madini nchini na kwenda nchi jirani ya Kenya.Mshangao huo wa Biteko aliupata jana baada ya kus... | kitaifa |
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Ali Kiba amesema hakujiunga na timu yake mwanzoni kutokana kukabiliwa na majukumu mengine nje ya nchi ila sasa amerejea rasmi na yuko tayari kuitumikia baada ya kukosekana kwenye michezo mitatu ya mwanzo.Akizungumza juzi baada ya kushuhudia timu yake ikitoka sare ya 1-1 na KMC katika dim... | michezo |
SHULE 11 zenye upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, zimetakiwa kukamilisha ujenzi wa madarasa ili wanafunzi wa awamu ya pili waanze masomo Februari 2, mwaka huu.Akipokea taarifa ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliyosomwa na Kaimu Mkurugenzi wa Jiji, Hidaya Maeda, Mkuu wa Mkoa h... | kitaifa |
MAHAKAMA zisizo na mamlaka ya kupokea mashauri ya watoto zimeagizwa kuacha kupokea mashauri hayo na iwapo baada ya kutolewa kwa elimu ya mipaka ya Mahakama hizo kuna mtendaji ataendelea kupokea, atawajibishwa.Katika hatua nyingine; watendaji wa Mahakama ya Watoto wametakiwa kufanya ziara katika mahabusu za Polisi na M... | kitaifa |
Uwezo wa uendeshaji wa kampuni hiyo kwa sasa ni mita za ujazo 141,000.Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER, Daniel Belair alisema hivi karibuni kwamba, uwekezaji huo unaenda sambamba na ukarabati mkubwa ulioanza miaka kadhaa iliyopita kwa gharama ya takribani Sh bilioni 22.4.Belair alisema uamuzi wa kuongeza uwezo wa kuhifadh... | uchumi |
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba mwaka jana, imepokea na kuzifanyia kazi taarifa 139 za rushwa na makosa mengine.Akitoa taarifa kwa umma, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Dodoma, Musa Chaulo amesema katika kipindi hicho, taasisi hiyo ilifanya uchun... | kitaifa |
TANZANIA imebaini maeneo mapya 274 ya historia ya ukombozi wa bara la Afrika kwa lengo la kukuza utalii wa kiukombozi kusaidia nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kufi kia malengo ya kukuza sekta hiyo.Maeneo hayo yalibainika katika mikoa ya Morogoro, Tabora, Mtwara, Kilimanjaro, Ruvuma, Mbeya na mingineyo na wan... | kitaifa |
BAADA ya juzi jioni Bajeti kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kupitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, gumzo mtaani limehamia kwenye leseni za udereva huku wengi wakipongeza serikali kwa hatua hiyo kwa kile walichodai kuwa kitapunguza usumbufu na rushwa kwa wanaohitaji.Baadhi ya wananchi, polisi kutoka maeneo... | kitaifa |
ZAIDI ya wakazi 20,000 wa Kata ya Vigwaza, Chalinze wilayani Bagamoyo wamenufaika na elimu ya sheria na haki za binadamu na msaada wa kisheria unaotolewa na wasaidizi wa kisheria Mkoa wa Pwani.Huduma hiyo ni sehemu utelekezaji wa Mradi wa Msaada wa Kisheria unaoratibiwa na shirika lisilo la kiserikali la Centre for En... | kitaifa |
Katika promosheni hiyo, mteja anatakiwa kutuma ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama namba yake imeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku.Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu alitoa mwito huo baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo.Nkurlu alisema kil... | uchumi |
SONGOSONGO ni eneo la visiwa vidogo vitano na moja ya sifa kubwa ya visiwa hivi, ni gesi asili. Eneo hili limezungukwa na matumbawe yanayojitanua kwa takribani kilomita 40 hivi.Matumbawe hayo ndiyo, hasa yanayolinda kisiwa hiki chenye fukwe nzuri za mchanga na minazi. Visiwa hivi vipo kusini magharibi mwa Visiwa vya M... | kitaifa |
MMOJA kati ya majeruhi ambaye ni mfanyakazi wa Azam Media ya Dar es Salaam, Mohamed Mainde amesema ajali waliyoipata mkoani Singida wakati wakienda Chato, ni moja kati ya mitihani ambayo Mwenyezi Mungu, humpa kila mwanadamu kwa wakati wake.Mainde ameyasema hayo jana akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) waka... | kitaifa |
UJENZI wa Reli ya Kisasa (SGR) awamu ya kwanza Dar es Salaam hadi Mwanza kilometa 1,219, umetajwa kuwa licha ya kuzalisha ajira, pia utaongeza ufanisi wa usafiri na usafirishaji na kupunguza gharama za usafirishaji abiria na mizigo, utachochea uanzishwaji wa viwanda na ukuaji kwa kasi kwa miji midogo.Akitoa taarifa kw... | kitaifa |
KOCHA wa Mtibwa Sugar ya Morogoro Zuberi Katwila ametamba kuishushia kipigo Mwadui ya Shinyanga kwenye mchezo utakaopigwa leo katika dimba la CCM Kambarage.Mtibwa Sugar imekuwa ikipata matokeo yasiyoridhisha kwenye mechi zake za hivi karibuni ambapo kwenye mchezo uliopita walitoka sare ya bao 1-1 na African Lyon.Mpaka... | michezo |
Ujumbe wa watu watano kutoka jimbo la Hebei nchini China leo unafika Kibaha Pwani kuzungumza na uongozi wa mkoa masuala ya biashara na uwekezaji.Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amesema mjini Kibaha kuwa, ujumbe huo unaojumuisha viongozi wa Serikali na wawekezaji wakubwa watatu pia utatembelea mabanda kw... | uchumi |
Kiungo wa zamani wa Yanga Salvatory Edward ameingilia kati suala la kipa timu yake hiyo ya zamani Claus Kindoki.Kindoki aliyeletwa Yanga na kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera amekuwa akishutumiwa na mashabiki wa timu hiyo kutokana na kiwango kibovu anachoonyesha tangu alipojiunga na timu hiyo akitoka Jamhuri ya Kidemokr... | michezo |
Rais John Magufuli amefuta katazo la matumizi ya wimbo wa taifa, bendera na nembo lililotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.Hivi karibuni wizara hiyo iliandika barua yenye kumbukumbu namba CHA.56/193/02/16 ya Novemba 23, 2018 ikiwa ni baada ya kupokea maelezo kutokea Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Barua... | kitaifa |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo kati ya timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars na Uganda, The Cranes.Mchezo huo wa mwisho wa kukata tiketi ya kufuzu fainali ya Mataifa ya Afrika ‘Afcon’ zitakazofanyika Misri Juni mwaka huu, unatarajiwa kupigwa Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam keshok... | michezo |
MABINGWA watetezi wa Kombe la Kagame Azam FC leo wanashuka dimbani kupambana na mabingwa wa Ligi Kuu Uganda Vipers katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi utakaochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Azam ndiye kinara wa kundi A baada ya kushinda mchezo wa kwanza dhidi ya Kator ya Sudan Kusini mabao 2-1 ikif... | michezo |
WAKAZI saba wa Jiji la Dar es Salaam, wamefi kishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka mbalimbali, ikiwemo kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii wa Facebook kwa kutumia jina la mke wa Rais, John Magufuli, Mama Janeth.Washitakiwa hao ni Saada Uledi, Maftaha Shaban, Heshima ... | kitaifa |
WANANCHI wa Namibia wamefurahia ziara ya Rais John Magufuli nchini humo iliyofufua matumaini ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili.Magufuli aliwasili nchini humo juzi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili akitoka Afrika Kusini kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Cyril Ramaphosa.Vyombo vya habari nchini hu... | kitaifa |
Mwakyembe amesema, filamu za Tanzania zimekuwa zikipapatikiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, lakini anaona wasanii wamelala hivyo amepanga kuwasaidia ili wajitengenezee kipato.Amesema, yeyote anayeona ameandaa filamu yenye ubora lakini anashindwa kuitafutia soko amtafute atamsaidia.Waziri Mwakyembe amesema, ili kuha... | michezo |
Wakizungumza mjini hapa kwa nyakati tofauti, Mbunge wa Mtoni, Faki Haji Makame (CUF) alisema ni kunahitajika mipango madhubuti ya kuwadhibiti wafanyabiashara watakaokiuka au kukaidi na kupandisha kodi katika eneo hilo wakati serikali haijapandisha ushuru.Alisema suala la kukuza uchumi wa nchi sio lazima kutegemea eneo... | uchumi |
WASHINDI 15 wa Tuzo za Hifadhi ya Mazingira kwa Mwaka 2018/2019 zinazotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wametia kibindoni jumla ya Sh milioni 22.5. Wakati wakitwaa tuzo hizo, Kamishina Mwandamizi wa Tanapa, Ahmed Mbugi ameomba wadau kujitokeza kuboresha zawadi.Tuzo hizo zilizoanza kutolewa mwaka 2015/2016... | kitaifa |
Mwanafunzi Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere abuni mfumo wa kuzuia gesi isivuje Na Lucy Ngowi MHITIMU kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Ramadhani Abushiri amebuni teknolojia ya mfumo wa kuzuia gesi isivuje ambao lengo lake ni kuzuia ajali ya gesi pindi ikiwa inavuja.Abushiri ambaye alimaliza hivi karibuni chu... | kitaifa |
WASOMI wametoa mwito kwa nchi za Afrika kuwa na mkakati na sera zao za kiuchumi, zitakazowasaidia kujikwamua dhidi ya mabepari na kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi za Afrika.Wasomi hao walitoa maoni hayo jana kwenye Kongamano la 11 la Kigoda cha Mwalimu, lililofanyika katika Ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Da... | kitaifa |
MUSWADA wa Sheria wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2018, umekuwa moto katika Kamati ya Bunge, baada ya mamia ya wadau kujitokeza kutoa maoni ili kuuboresha ili ukuze demokrasia ya vyama vya siasa nchini.Akizungumza katika mahojiano jijini hapa jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba... | kitaifa |
NI kama tambo zake na maneno yake ya kejeli yamewachosha viongozi wa Yanga na kuamua kuachana na kocha wao Mwinyi Zahera. Mara kadhaa, Zahera amekuwa akitoa tambo za hapa na pale kuhusu ama wachezaji, viongozi wa Yanga au viongozi wa mpira nchini.Maneno kama “Mimi ndio naisaidia Yanga nalipa mishahara mpaka pesa ya ku... | michezo |
SERIKALI imeagiza waganga wakuu wote kuhakikisha wanafanya ufuatiliaji wa kila kifo kitakachotokea katika hospitali zote nchini ili kubaini chanzo cha vifo hivyo, jambo litakalosaidia kuimarisha mikakati katika kupambana na magonjwa, hususani magonjwa ya milipuko.Hayo yamesemwa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Kinga kut... | kitaifa |
Alitoa ombi hilo jana mjini Songea kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofanya ziara katika Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kituo cha Songea kukagua kazi ya ununuzi wa mahindi akiwa katika siku ya pili ya ziara yake mkoani Ruvuma.Alisema wananchi wa Songea wana imani kubwa na serikali, hata hivyo bado wan... | uchumi |
['Hakika ni habari ambazo mashabiki wengi wa klabu ya Arsenal wanapenda kuzisikia.', 'Tajiri namba moja Afrika, Mnigeria Aliko Dangote anahusishwa tena na taarifa za kutaka kuinunua klabu anayoishabikia ya Arsenal. ', 'Tofauti ni kuwa safari hii, duru zinasema kuwa jambo hilo linaweza kutokea mwaka 2021. ', 'Dangote a... | michezo |
MWILI wa mmiliki wa Kampuni za IPP na mfanyabiashara mkubwa nchini na Afrika, Dk Reginald Mengi unatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu, Mei 6, ukitokea Dubai tayari kwa maandalizi ya maziko yanayotarajiwa kufanyika Alhamisi, wiki ijayo.Jumanne asubuhi mwili wake utapelekwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaa... | kitaifa |
Uongozi wa Wilaya Urambo mkoani Tabora umewataka wananchi wajiandae kisaikolojia kupokea mabadiliko makubwa ya kiuchumi zikiwemo biashara na uwekezaji.Mkuu wa Wilaya ya Urambo, Angelina Kwingwa amesema, baada ya Jukwaa la Fursa za Biashara linaloandaliwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kutakuwa na mabadiliko ... | uchumi |
Rais John Magufuli ameagiza mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakutane na viongozi wa dini kwenye maeneo yao ili kutatua changamoto zilizopo. Rais pia amemtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asimamie ili matatizo ya viongozi wa dini yatatuliwe.Dk Magufuli ametaka viongozi nchini waondoe dhana utawala vichwani mwa... | kitaifa |
Meneja wa benki hiyo yenye makao yake makuu mjini Mafinga mkoani Iringa, Ben Mahenge alisema benki hiyo inatarajia kuuza hisa milioni 20 zenye thamani ya Sh bilioni tano zitakazouzwa hadi Septemba 4, mwaka huu, kabla ya kuanza kuuzwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).“Kila hisa moja inauzwa kwa Sh 250 na kima... | uchumi |
CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Shule kuu ya Sheria imeanzisha kituo cha msaada wa kisheria kitakachotoa huduma ya kisheria bure kwa wakazi wenye changamoto za kipato.Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi wa Utafiti na Majarida, Ubunifu, Ushauri na Ushirikiano wa UDOM, Profesa Flora Fabian wakati akifungua mafunzo ya ... | kitaifa |
WAWAKILISHI wa Tanzania katika soka la kimataifa, Yanga na Azam leo wanashuka viwan- jani kusaka tiketi ya kucheza makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga, wenyewe watakuwa mjini Ndola nchini Zambia kwenye Uwanja wa Ravy Mwanawasa wakati watakapokuwa wageni wa Zesco United katika mchezo wa mar... | michezo |
Akizungumza baada ya hafla ya kukabidhi tuzo hizo, iliyofanyika makao makuu ya kiwanda hicho Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Matekelezo cha NSSF, Nuur Aziz alisema uamuzi ulifikiwa baada ya mkutano wa wadau, uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha.Alisema mbali na tuzo ya kuwa mwajiri bora,TBL imepewa tuzo ya kuwa ... | uchumi |
OFISA Mazingira kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Magori Wambura, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mbalimbali ya uhujumu uchumi.Moja ya mashitaka anayoshitakiwa nayo ni kughushi sahihi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu w... | kitaifa |
MWAKILISHI wa Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Julius Nani ameitaka Tanzania kuendelea kuuza mifugo nchini mwao, kwani nchi hiyo inategemea zaidi mifugo kutoka Tanzania.Nani aliyasema hayo hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa soko la kisasa la mifugo katika Kijiji cha Oriendeke wilayani Longido lenye thamani ya zaidi y... | kitaifa |
NAIBU Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Dk Avemaria Semakafu amewataka wanaoibeza elimu ya Tanzania kuacha tabia hiyo kwani kwa kufanya hivyo ni kujidhalilisha.Dk Semakafu alisema hayo jijini hapa jana katika hafla ya kuwatunuku vyeti na zawadi washindi wa kikanda na kitaifa wa mashindano ya uandishi... | kitaifa |
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Maromboso jijini Arusha,Theresia Sidoyeka ameshindwa kusoma hukumu katika shauri la mirathi iliyokuwa isomwe jana kwa maelezo kuwa hukumu hiyo iliibwa ofi sini kwake.“Jamani hukumu yenu niliyokuwa nimeiandika kwa kuichapa imeibwa ofisini kwangu naomba niian... | kitaifa |
KOCHA wa muda wa timu ya Alliance FC Gilbert Daddy amethibitisha kuwa wachezaji wake 11 wataikosa mechi yao ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar itakayochezwa leo kwenye uwanja wa Nyamagana.Kwa mujibu wa Daddy, wachezaji wake wataukosa mchezo wa leo kutokana na kuwa kwenye mitihani yao ya taifa ya kumaliza kidato cha nne... | michezo |
Wright pia amewatuhumu baadhi ya wachezaji wa timu hiyo kwa ‘kuzurura ovyo mitaani’ na kudai kuwa mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke ‘hajali kitu’.Arsenal imepoteza mechi sita kati ya 12 mwaka huu, ya mwisho ikiwa ni ile ya fainali ya Kombe la Ligi dhidi ya Manchester City."Bila kujali kama ataendelea kuwepo mwishoni ... | michezo |
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imesitisha usikilizwaji wa rufaa ya kupinga kufutiwa dhamana, iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko hadi hapo rufaa ya upande wa serikali, itakaposikilizwa na Mahakama ya Rufani.Hatua hiyo ... | kitaifa |
['Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil, 31, amesema alikuwa na "wakati mgumu" chini ya kocha aliyepita Unai Emery lakini sasa "anafuraha" chini ya kocha mpya Mikel Arteta. (Mirror)', 'Klabu ya Inter Milan imeafikiana makubaliano binafsi na kiungo wa Denmark Christian Eriksen,27, ili wamsajili moja kwa moja lakini klabu yake ya... | michezo |
MKAZI wa Vingunguti Miembeni jijini Dar es Salaam, John Thomas (59) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, jinsi mke wake mdogo, Sylvester Njau alivyomfia mikononi baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali.Thomas ni shahidi wa pili katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyakazi wa ndani, Horiana Shab... | kitaifa |
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefungua jengo la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume(KIST), Wilaya ya Magharibi B mjini Unguja ililogharimu Sh bilioni 4.2.Jengo hilo lilifunguliwa juzi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika Januari 12, 1964. Alisema kukamilika... | kitaifa |
Mwito huo ulitolewa jana na Meneja wa TRA, Apil Mbaruku wakati akizungumza na gazeti hili ofisini kwake na kusisitiza kuwa bidhaa zote zinazoanzia mauzo yake Sh 5,000 lazima zikatiwe risiti za EFD.Mbaruku alikumbusha vyombo vya habari wajibu wa kuchochea na kuhamasisha maendeleo ya mkoa wa Ruvuma, kutoa elimu sahihi n... | uchumi |
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’ Emmanuel Amunike, ametangaza kikosi cha wachezaji 30 watakaocheza mechi ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa Afrika, Afcon 2019 dhidi ya Cape Verde Oktoba 12 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Akizungunza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Amunik... | michezo |
Kaimu Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema, Kamati ya Rufaa ya maadili inatarajia kukaa leo kuanzia saa 5:00 asubuhi kusikiliza rufaa ya Wambura. “Kamati ya Rufaa ya Maadili inatarajia kukaa kesho (leo) kusikiliza rufaa ya Michael Wambura ambaye alikata rufaa baada ya kufungiwa kujihusisha na soka maisha na ka... | michezo |
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Simba leo wanashuka dimbani kuwakabili Tanzania Prisons katika mchezo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru. Unaweza kuwa mchezo wa kibabe kutokana na wapinzani wao Prisons kuwa timu ya pekee ambayo haijapoteza mchezo wowote wa Ligi Kuu msimu huu.Simba ikiwa ni kinara ina... | michezo |
Atembelea kiwanda cha trekta Poland WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda atatuma wataalamu wa sekta ya kilimo ili waje kufuatilia suala la mahitaji ya trekta ili kuziba pengo la mahitaji yake nchini Tanzania. Alisema lengo la Serikali la kuanzisha sera ya Kilimo Kwanza, lilikuwa ni kuwasaidia wakulima kupata ruzuku ya pembejeo, ... | uchumi |
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kushirikiana na Jeshi la Polisi kumkamata na kumweka ndani Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Tumaini Godfrey a.k.a. Dudu Baya kwa kukejeli na kumdhihaki hayati, Ruge Mutahaba.Msanii Dudubaya jana alijireko... | michezo |
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na mawaziri na makatibu wakuu kwenye eneo la tanki la maji la kutolea huduma katika ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba badala ya Ukumbi wa Hazina kama alivyokuwa amepanga awali.Akiwa Ihumwa, Waziri Mkuu amewaagiza mawaziri wafike kwenye maeneo ya ujenzi wa ofisi zao, watathmini uwe... | kitaifa |
MAMBO yamean- za kunoga kwenye kambi ya timu ya soka ya taifa, Taifa Stars baada ya wachezaji kuonesha mor- ali ya hali ya juu katika mazoezi ya kujiandaa na fainali za Afrika yanay- oendelea kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Stars ipo kwenye maandalizi ya fainali hizo za Afcon zinazotarajiwa kuanza Juni 21 mwaka ... | michezo |
BAADA ya ukarabati wa mabilioni ya fedha kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kinachomilikiwa na serikali kwa asilimia 100 kupitia kampuni yake ya KADCO, sasa ndege 10 aina ya Boeing 737 zinaweza kutua kwa wakati mmoja.Mkurugenzi Mwendeshaji na Ufundi wa KADCO, Martin Kinyamagoha ameyasema hayo... | kitaifa |
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Simba na Mtibwa Sugar leo wako kwenye miji tofauti kupeperusha bendera ya taifa..Simba inayoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, itakuwa ugenini Kitwe, Zambia kumenyana na Nkana Red Devils ya huko katika mechi ya kwanza huku Mtibwa inayoshiriki michuano ya ... | michezo |
WATU wenye mahitaji maalumu hususani ulemavu wa aina mbalimbali wametakiwa kuonesha uwezo wao ili waidhihirishie jamii kuwa wanaweza.Hayo yalisemwa na washiriki wa warsha ya uvumbuzi na ubunifu kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika vyuo vikuu vya Tanzania iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Chuo Kiku... | kitaifa |
Meneja Masoko wa kampuni hiyo, David Malisa alisema mwaka huu katika kombe la dunia la 21, StarTimes ni mrushaji rasmi wa michuano hiyo ambayo itaanza Juni 14 hadi Julai 15 nchini Urusi na matangazo hayo yatarushwa kwa lugha ya Kiswahili.“Tumeamua kurusha matangazo hayo kwa lugha ya Kiswahili na hii ni katika jitihada... | michezo |
WAKATI mjadala kuhusu Bajeti Kuu ya serikali umeanza bungeni baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kuiwasilisha Juni 13, mwaka huu, maeneo 11 yameonekana kuwa moto.Maeneo hayo 11 ni pamoja na mchango wa wadau wa maendeleo katika bajeti, Taulo za kujihifadhia kwa watoto wa kike shuleni, uhakiki na ulipa... | kitaifa |
KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amewapa ushauri viongozi na benchi la ufundi la Simba kuwaandaa wachezaji wao kisaikolojia kama wanataka ushindi kwenye mchezo wao dhidi Al Ahly ya Misri unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi ya wiki hii.Mchezo huo wa tatu wa hatua ya makundi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa... | michezo |
['Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anasema kuwa klabu hiyo bado iko nyuma kinyume na matarajio aliyokuwa nayo katika kipindi kama hiki cha msimu. ', 'United, ambayyo itakuwa mwenyeji wa Newcastle siku ya Boxing Day, inashikilia nafasi ya nane katika Ligi ya Primia na iko nyuma kwa pointi saba kuufikia... | michezo |
KLABU ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) imeweka wazi suala la kuwapa wachezaji wake mikataba wa mwaka mmoja mmoja.Akizungumza na gazeti hili Meneja wa Klabu hiyo, Walter Harrison alisema, “Mkataba wa mwaka mmoja unamfanya mchezaji ajitume ili kujihakikishia kuongezewa mkataba kwa msimu mwingine.Mara nyingi mchezaji akipe... | michezo |
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa TNBC, Raymond Mbilinyi alisema hatua za utekelezaji maazimio mbalimbali ya kuimarisha sekta hizo zitajulikana katika mkutano wa tisa wa baraza hilo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2, mwaka huu.“Mapendekezo mengine ni ya kiutawala zaidi amba... | uchumi |
KOCHA wa Yanga, Mkongomani Mwinyi Zahera, ameendelea kuwapongeza wachezaji wake kwa kucheza kwa kujitolea kuipigania klabu hiyo kupata matokeo mazuri huku wakiwa hawajalipwa mishahara yao kwa miezi kadhaa.Kabla ya mchezo wa jana wa Azam FC dhidi ya KMC Yanga ndio walikuwa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo wakijikusany... | michezo |
SERIKALI imezindua huduma za kifedha kwa kutumia simu ya mkononi kwa lengo la kupunguza matumizi ya fedha taslimu.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Sudan Kusini (NCA), Lado Wani Kenyi (pichani) alisema wametoa leseni kwa kampuni ya Trinity Technologies kutoa huduma za kielektroniki na kifedha kwa simu za mkono... | kitaifa |
KAULI ya Rais John Magufuli ya kuwataka watendaji wa Wizara na Idara mbalimbali za serikali kuwajibika ipasavyo katika kuhakikisha dhana ya viwanda na uwekezaji inafanikiwa, imeungwa mkono na baadhi ya viongozi wastaafu akiwemo Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela.Malecela alisema ni kweli watendaji serikalini na katika... | kitaifa |
NAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (pichani) amewataka wakandarasi wanaosambaza umeme vijijini kutochelewesha utekelezaji wa miradi hiyo kwa kisingizo cha mabadiliko ya hali ya hewa kama vile uwepo wa mvua.Aliyasema hayo wilayani Makete mkoani Njombe wakati alipokagua kazi ya usambazaji umeme vijijini inayotekelezw... | kitaifa |
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Margareth Chacha, alisema mwishoni mwa wiki kuwa wanawake waishio Washington, Virginia na Maryland (DMV), walituma mwaliko kwa benki yake kwenda kuwaelezea namna gani watanufaika endapo watawekeza kwenye benki hiyo.“Nilikutana nao Chicago na tulikuwa na mazungumzo marefu yaliyozaa ma... | uchumi |
Hata hivyo kocha huyo alisema yupo tayari kuendelea kuinoa timu hiyo kama watafikia muafaka na mabosi wake.Kocha huyo aliliambia gazeti hili kuwa anachoshukuru wakati anakaribia kumalizia mkataba wake huo wa muda mfupi aliokuwa nao, tayari amekaribia kumaliza kazi kubwa aliyopewa ya kuipa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu... | michezo |
MIMEA jamii ya mikunde ikiwamo mbaazi, kunde, choroko, soya na dengu ina sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kurutubisha ardhi na hivyo, kukuza uchumi kwa wakulima na jamii kwa jumla. Hili linafanyika kupitia vijidudu vya bakteria vilivyopo kwenye mizizi vinavyochukua hewa ya nitrogen angani na kuibadilisha kuwa mbolea in... | uchumi |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.