content
stringlengths
1k
24.2k
category
stringclasses
6 values
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alieleza nafasi ya Serikali kutambua mchango huo hivi karibuni alipokuwa akifungua maadhimisho ya siku ya viwanda Afrika jijini Dar es Salaam.Alisema katika kuimarisha mafanikio na juhudi hizo, Serikali itaendelea kusimamia uwekezaji katika maeneo maalumu ya uzalishaji ili kuharakisha maende...
uchumi
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoa wa Iringa imeonya wanasiasa ikitaka wajiepushe na vitendo vya rushwa katika mchakato wa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.Akizungumza na wanahabari wakati akitoa taarifa ya robo ya nne (Aprili -Juni) ya utekelezaji wa majuku...
kitaifa
MHASIBU wa Klabu ya Simba, Amos Gahumeni (39) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu namna washitakiwa Evans Aveva na wenzake walivyotumia fedha za mauzo ya mshambuliaji wa klabu hiyo, Emmanuel Okwi.Gahumeni ambaye ni shahidi wa sita katika kesi hiyo ya utakatishaji fedha alidai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
michezo
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuacha kuwabughudhi wawekezaji ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi na tija.Aidha amesema iwapo wawekezaji watafanikiwa katika shughuli zao, majirani na wawekezaji na taifa kwa ujumla litanufaika kwa kodi na pia kuchangia huduma mbalimbali za kijamii.“Msiwafany...
uchumi
BEKI mahiri nchini, David Mwantika amerudishwa katika kikosi cha Taifa Stars kilichopo Misri, kujiandaa na mashindano ya Mataifa ya Afrika (Afcon 2019) kuchukua nafasi ya Aggrey Moris aliyeumia nchini humo.Morris aliumia wakati Taifa Stars ikicheza dhidi ya wenyeji Misri katika mchezo wa kimataifa wa kujipima nguvu, a...
michezo
MARA baada ya mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya kusajiliwa na timu ya Pharco FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri, timu hiyo imeamua kumpeleka kwa mkopo katika timu ya ENNPI inayoshriki Ligi Kuu ya nchi hiyo.Tayari Simba na Pharco wameshamalizana kila kitu juu ya uhamisho wa Kichuya kwa maana hiyo hatokuwepo k...
michezo
WAWEKEZAJI wa viwanda vya kuchakata nyama na maziwa, wameishukuru serikali kwa hatua inazochukua za kudhibiti uingizaji holela wa bidhaa hizo kutoka nje ya nchi.Wawekezaji hao wamebainisha kuwa hatua yao ya kuanzisha viwanda vipya pia imewanufaisha wafugaji kutokana na kuwepo sasa na fursa ya viwanda na hivyo kuuza bi...
uchumi
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa IPO hiyo juzi, Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa alisema mauzo hayo yataendelea kwa wiki tatu na kufungwa rasmi Juni 3 mwaka huu saa 11 Alasiri. Alisema wanauza hisa hizo kwa lengo la kupata mtaji wa Sh bilioni 7.5."Ninaamini kwamba kiasi hiki cha fedha ni kidogo na hivyo tunaamini k...
uchumi
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Fatuma Latu amesema baada ya miaka miwili au mitatu Bagamoyo itakuwa tofauti na kama ndoto zake zikitimia za kutekekeleza miradi mikubwa watu wengi watavutiwa kuwekeza huko.Amesema, anatamani kuacha alama kwa kulibadilisha eneo hilo kupitia miradi mikubwa ukiwem...
uchumi
IDADI ya watalii walioingia nchini imeongezeka kutoka 1,327, 143 mwaka 2017 hadi kufi ka watalii 1,505, 702 mwaka 2018 na ongezeko hilo limechangia kuongezeka kwa mapato yatokanayo na utalii kutoka dola za Marekani bilioni 2.2 mwaka 2017 hadi kufi kia dola za Marekani bilioni 2.4 mwaka 2018.Waziri wa Maliasili na Utal...
kitaifa
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Lindi, Mhandisi Mbaraka Kilanga ameyasema hayo jana kwenye sherehe ambapo mwenyekiti wa mamlaka hiyo, Mathei Makwinya aliwakabidhi mabwana shamba pikipiki zipatazo sita kati ya hizo tano zilitolewa na mfuko wa Wakafu na moja ni ya halmashauri ya wilaya, kwa ajili ya uendele...
uchumi
Makubaliano hayo yaliyofikiwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, yametajwa yataiwezesha kampuni hiyo kuanza kufunga mfumo unaojulikana kama ‘Profits’ utakaotumika kwa shughuli mbalimbali za benki hiyo inayotarajiwa kuanza Mei mwakani.Akizungumza kwenye makubaliano hayo, Mwenyekiti wa Bodi ya benki hiyo, Herman Ke...
uchumi
MSHAMBULIAJI wa Yanga Heritier Makambo ni miongoni mwa wachezaji 40, waliojumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Congo DR kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa mwisho wa kufuzu fainali za Mataifa Afrika ‘Afcon’ zitakazofanyika Misri baadae mwaka huu.Kikosi cha Congo kitakuwa nyumbani Kinshasa kuwaalika Liberia Mac...
michezo
MIKOA mbalimbali nchini imeanza kutekeleza kwa kasi agizo la Rais John Magufuli la kuwagawia vitambulisho maalumu vilivyotolewa kwa wafanyabiashara wadogo wakiwemo mama ntilie, kwa ajili ya kufanya biashara zao bila bughudha.Katika ugawaji wa vitambulisho hivyo, wakuu wa mikoa kadhaa wamesisitiza juu ya umuhimu wa waf...
kitaifa
Ongezeko hilo la faida katika kampuni limewezesha pato la kila hisa kuongezeka mpaka Sh 208.22 ukilinganisha na Sh 186.75 iliyoripotiwa mwaka 2012, ikiwapatia wanahisa ongezeko la asilimia 11.5 la hisa zao.Hayo yalielezwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Swissport Tanzania Plc, Gaudence Temu katika taarifa yake kwa wanahisa ...
uchumi
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo watakuwa na mtihani wa kusaka pointi tatu dhidi ya Lipuli FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.Simba inashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 6-0 waliopata kwenye mchezo wa kombe la Shirik...
michezo
UIMARA wa safu ya ulinzi kwa timu ya soka ya Tanzania Bara ya Wanawake, Kilimanjaro Queens, umakini wa kutumia nafasi kwa mipira iliyokufa na safu bora ya ushambuliaji ni moja ya mambo yayoweza kuwafanya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa leo dhidi ya Sudan Kusini utakaochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Dar es Sal...
michezo
KOCHA mkuu wa timu ya soka ya Lipuli FC, Seleman Matola amewapongeza wachezaji wake baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa CCM Kirumba mjini hapa juzi.Matola alisema baada ya matokeo hayo sasa anajipanga kuikabili Yanga kwenye uwanja wa Taifa wiki ijayo. Mabao ya ...
michezo
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA), Aloyce Masanja, wawekezaji hao mbali na kutoa ajira, wanatoa ruzuku ya Sh milioni 50 kwa mwaka kwa vijiji vitatu vya wilaya hiyo.“Kuna watu wanasema uwekezaji hauna faida katika nchi hii, mimi nataka kuwaambia waache kupotosha… le...
uchumi
MBIO za Kilimanjaro Marathon zinatarajiwa kufanyika asubuhi ya leo zikihusisha washiriki zaidi ya 10,000. “Muamko ni mkubwa mno na tunatarajia kuwa mbio za mwaka huu zitakuwa kubwa pia,” ilisema taarifa ya waandaaji.Waandaaji hao walisema safari hii usajili kwa njia ya mtandao na Tigo Pesa ulifanikiwa kwa kiasi kikubw...
michezo
MFUNGAJI wa bao la ushindi la Simba katika mchezo dhidi ya APR Meddie Kagere amesema hakuona sababu ya kuendelea kubaki na Gor Mahia kwa kuwa Simba SC walimuwekea fedha za kutosha.Wiki moja iliyopita Simba ilikamilisha usajili wa mkali huyo kutoka Rwanda kwa dau linalodaiwa kuwa Sh milioni 120 na kusaini mkataba wa mi...
michezo
.Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imezitoza faini Benki Tano za Biashara kwa kukiuka kanuni namba 17, 22 na 28 za kanuni za kuzuia utakatishwaji Fedha za mwaka 2012.Benki hizo pia zimetozwa faini kwa kushindwa kuhakiki taarifa za utambulisho wa Wateja na kushindwa kuwasilisha taarifa ya miamala yenye kuleta mashaka katika ...
uchumi
TIMU ya Daraja la Kwanza ya Gwambina FC imeshindwa kutamba mbele ya Simba baada ya kufungwa kwa penalti 4-2 baada ya kutoka sare ya kufunga bao 1-1 katika mchezo wa kirafi ki uliofanyika kwenye Uwanja mpya wa Gwambina uliopo Misungwi mkoani Mwanza.Mashabiki mbalimbali walifurika kushuhudia mtanange huo uliowakutanisha...
michezo
WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Mgongoro kijiji cha Makomero wilayani Igunga Mkoani Tabora wameomba halmashauri ya wilaya hiyo kuwasaidia mradi wa maji ili kuboresha mazingira ya shule yao.Walitoa rai hiyo kwa Mkuu wa wilaya hiyo, John Mwaipopo alipotembelea shule hiyo kuhamasisha upandaji miti.Walisema shule yao haina m...
kitaifa
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekitaka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimalize urasimu ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yake.Pia ameuagiza uongozi wa TIC uweke kipaumbele cha kwanza katika kulinda rasilimali za nchi na maliasili zake ikiwemo ardhi, mazao ya uvuvi, misitu, madini. Waziri Mkuu ali...
kitaifa
IDADI ya watalii walioingia nchini imeongezeka kutoka 1,327, 143 mwaka 2017 hadi kufi ka watalii 1,505, 702 mwaka 2018 na ongezeko hilo limechangia kuongezeka kwa mapato yatokanayo na utalii kutoka dola za Marekani bilioni 2.2 mwaka 2017 hadi kufi kia dola za Marekani bilioni 2.4 mwaka 2018.Waziri wa Maliasili na Utal...
kitaifa
MKUU wa Jeshi la Polisi nchin (IGP), Simon Sirro amesema waliohusi- ka na vitendo vya mauaji ya Watanzania 9 baada ya kupigwa risasi na wengine kushambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana walianza chokochoko hizi eneo la Kibiti mkoani Pwani na walipovurumishwa na jeshi la Polisi, wengine walikimbilia nchi jirani ik...
kitaifa
BALOZI wa Tanzania nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Luten Jenerali Mstaafu Paul Mella amesema licha ya kikosi cha Simba kupoteza mchezo wa dhidi ya As Vita, bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye michezo iliyobaki ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika Kundi D.Alisema kitendo cha kupoteza mchezo huo wa ugenin...
michezo
SERIKALI ya Awamu ya Tano imepata mafanikio katika sekta ya elimu kwa kuwa katika shule za msingi udahili umeongezeka kwa asilimia 17 kutoka wanafunzi 8,639,202 mwaka 2016 hadi wanafunzi 10,111,255 mwaka juzi.Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, Dk John Kalage alisema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waand...
kitaifa
BAADA ya vuguvugu na danadana za kutofanyika kwa uchaguzi ndani ya klabu ya Yanga kwa muda mrefu hatimaye Dk Mshindo Msolla amechaguliwa kwa kishindo kikubwa na kuwa mwenyekiti mpya katika uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa bwalo la Polisi Oysterbay Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Msolla ameshinda kwenye nafasi ...
kitaifa
Hatma ya mgomo huo ilitarajiwa kujulikana jana baada ya wafanyabiashara hao kukutana na uongozi wa Chama cha Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Iringa.Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk Christine Ishengoma alitaka wafanyabiashara hao kurejea kwenye biashara, kunusuru hali ya huduma na wakati huo huo kuep...
uchumi
UKOSEFU wa umeme wa uhakika umetajwa kuwa changamoto kubwa inayokwamisha uzalishaji kwenye mgodi wa dhahabu wenye leseni namba PML 0000829SWZ uliopo wilayani Chunya mkoani Mbeya.Hayo yalibainishwa na Meneja wa Mgodi huo, Shigongo Kimogele kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aliyezuru akilenga kujua...
uchumi
['Paul Pogba ameiomba Man United kumpatia kandarasi mpya yenye thamni ya £600,000 kwa wiki . Kiungo huyo wa kati wa Ufaransa ,26, anajua kwamba ananyatiwa na Juventus pamoja na Real Madrid. (Tuttosport - in Italian)', 'Wachezaji wa Spurs wamekasirishwa na mkufunzi Mauricio Pochettino baada ya kusema kwamba walikuwa na ...
michezo
NAHODHA wa Yanga, Kelvin Yondani anatarajiwa kuanza mazoezi Jumatatu baada ya mgomo wa takribani mwezi mmoja akishinikiza kupatiwa mkataba mpya.Yondan amemaliza mkataba Yanga SC Juni mwaka huu, lakini kwa kipindi chote ameshindwa kufikia makubaliano ya mkataba mpya na klabu.Juzi mchezaji huyo wa zamani wa Simba na Tot...
michezo
TAASISI ya Huduma za Kuunganisha Walinzi Binafsi nchini (TPSIS) imezindua rasmi zoezi la usajili wa walinzi wote ambao hawapo katika mfumo rasmi wa kampuni za ulinzi nchini.Chini ya mpango huo, TPSIS itashirikiana na Jeshi la Polisi katika kuwatambua, kuwakusanya na kuratibu mtandao wa walinzi binafsi, lengo kubaini m...
kitaifa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika mkoa wa Dodoma imevitaka vyuo vikuu vyote mkoani humo kuhakikisha huduma zinazotolewa ndani ya vyuo ziwe zimesajiliwa, zinalipiwa kodi na zinatumia Mashine za Kielektroniki (EDF).Akitoa taarifa ya utendaji wa TRA katika Mkoa wa Dodoma kwenye kikao cha wajumbe wa Jukwaa la Wadau ...
uchumi
MAHAKAMA imeshauri ili kuondoa mrundikano magerezani, kesi zote ziwe na uwezekano wa mshitakiwa kupewa dhamana ikiwa ni pamoja na zile za mauaji na mshitakiwa aruhusiwe kujidhamini mwenyewe.Aidha imeshauri pia sheria zirekebishwe kusaidia kuondoa mrundikano magerezani kwa kupunguza adhabu ndefu. Akizungumza mara baada...
kitaifa
Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Salum Khamis Nassor alisema Watanzania wakiwemo Wazanzibari wanaotaka kuwekeza waitumie mamlaka hiyo kwa kuwa haikuanzishwa kwa ajili ya watu kutoka nje ya nchi tu.Alisema mjini Unguja kuwa, fursa wanazopata wageni zipo pia kwa ajili ya Watanzania hivyo wanaweza kuitumia ZIPA ili wapat...
uchumi
KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Oscar Mirambo amesema kipigo walichokipata kutoka kwa Nigeria kimetokana na kukosa mwendelezo mzuri wa uchezaji kutoka kwa baadhi ya wachezaji wake.Serengeti Boys juzi ilikumbana na kipigo cha mabao 5-4, kutoka kwa Nigeria ukiwa mchezo...
michezo
Pamoja na kukuza uchumi, lakini pia mtandao huo umetakiwa kujaribu kuweka fursa za elimu ili wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo vikuu kupata taarifa zitakazosaidia kukuza taaluma.Mkuu wa Mkoa huo, Leonidas Gama alisema hayo wakati anafungua duka la Tigo mkoani hapa, ambalo litakuwa likihudumia wateja 250 kila sik...
uchumi
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), kuhakikisha inaandaa taarifa na kuambatanisha mkataba wa makubaliano kati yake na Kampuni ya Airport Development (KADCO) kuhusu uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kimanjaro (KIA) baada ya kugundua kuwapo taari...
uchumi
SERIKALI imeahidi kuchukuliwa kwa hatua za haraka za kudhibiti athari za mmomonyoko wa ardhi katika kisima cha gesi asilia, kilichopo kijiji cha Msimbati kwenye kisiwa cha Mnazi Bay mkoani hapa kwa kujengea ukuta, kutokana na kuongezeka kwa kina cha bahari katika eneo hilo.Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Nishati,...
kitaifa
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Adelhelm Meru aliipongeza NBC kwa kuanzisha mpango huo.Dk Meru aliyekuwa mgeni rasmi, alisema utasaidia kwa kiwango kikubwa kukuza biashara na kuinua wajasiriamali ambao ni tegemeo la maendeleo ya u...
uchumi
Benki imeendelea kuwa na mali za Sh trilioni moja na kuweza kukuza pato la wenye hisa kwa asilimia 23 kufikia Sh bilioni 190 ikilinganishwa na Sh bilioni 154 iliyorekodiwa mwaka jana.“Tuna furaha kubwa kutangaza kwenu mafanikio makubwa ya kifedha ya mwaka 2014 Desemba,” alisema Kaimu Ofisa Mkuu wa Fedha, Issa Hamisi, ...
uchumi
“Samsung Galaxy S7 na Galaxy S7 Edge zitakuwa zikitolewa kupitia maduka yetu yote huku zikiambatanishwa na Power-Bank ya bure; pia wateja 50 wa kwanza watajipatia Bluetooth Earphones za Galaxy za bure pia,” alisema Samson Mwongela, Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa cha Vodacom Tanzania.Mwongela alibainisha kuwa sim...
uchumi
Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Iringa, Lucas Mwakabungu aliyasema hayo jana kwenye warsha ya mafunzo ya Dawati la Majadiliano kati ya sekta ya umma na binafsi, iliyofanyika kwa siku mbili mjini hapa.“Uamuzi huo wa rais wetu utasaidia sana kushusha riba za mabenki yetu ya biashara kwa sababu sekta binafsi ndiyo itakayokuw...
uchumi
WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema hadi kufi ka Julai mwaka huu, vijiji 87 katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma vitakuwa vimeunganishwa na umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini, Awamu ya Tatu (REA III).Dk Kalemani aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ngonga wilayani Kongwa mwis...
kitaifa
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Masoko ya Airtel, Levi Nyakundi alisema,” promosheni hii ni nafasi ya pekee kwa wateja wetu wanaojiunga na vifurushi vya Airtel yatosha vya siku, wiki na mwezi kupata faida zaidi kutokana na pesa wanazozitumia.“Nia yetu kuhakikisha tunatoa huduma na bidha...
uchumi
Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Dodoma jana mbele ya Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, wakati akiwasilisha ripoti ya wadaiwa sugu katika deni hilo.Kampuni, wafanyabiashara, taasisi za Serikali walipatiwa mkopo wa Sh bilioni 328 kwa mikupuo mitatu kuanzia mwaka 1992 hadi 19...
uchumi
['Barcelona itajaribu kumsaini mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil Neymar, 27, katika dirisha dogo la mwezi Januari. (Goal)', 'Chelsea inafikiria uhamisho wa mwezi Januari wa mshambuliaji wa RB Leipzig na Ujerumani Timo Werner, 23. (Express)', 'Kiungo wa kati wa Man United Paul Pogba, 26, anataka kuondoka katik...
michezo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya vikao vya viongozi vya kitaifa vya Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kwa siku mbili Juni 26 na 27, mwaka huu.Kwa mujibu wa kalenda vya matukio na vikao vya Uongozi ngazi ya Taifa, iliyotolewa na Katibu wa NEC wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, vikao vitatanguli...
kitaifa
DAU la Sh bilioni 4 linalotakiwa na klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco, linaweza kukwamisha ndoto za Simon Msuva kucheza soka Ulaya.Akizungumza jana baba mzazi wa Msuva, Happygod Msuva amesema mwanawe anatakiwa na timu nne zikiwemo za Ulaya na nyingine za nchini Morocco, lakini dau la Difaa El Jadida limekuwa likiwak...
michezo
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa, Allan Kijazi, alisema uamuzi huo umezingatia ukuaji wa sekta ya utalii nchini ambapo karibu asilimia 75 ya wageni wanaofika nchini kwa ajili ya utalii, hutembelea hifadhi za Taifa.Alisema maeneo hayo yatahusisha ujenzi wa hoteli na kambi za kudumu za wa...
uchumi
WAKATI Rais John Magufuli akitoa miezi minane kwa mkandarasi wa daraja la Mto Sibiti kukamilisha, tayari ujenzi huo umefikia asilimia 90 na huenda ukakamilika kabla ya muda uliopangwa.Septemba 10, mwaka huu, Rais Magufuli akiweka jiwe la msingi la daraja la Mto Sibiti ambalo ni kiunganishi cha mikoa ya Simiyu na Singi...
kitaifa
SERIKALI imesema italifanyia kazi suala la michezo ya kubahatisha maarufu kama kamari kwa kuwa inawajengea Watanzania hususani vijana tabia ya uvivu na kutofanya kazi.Hayo yamebainishwa na Rais John Magufuli kwenye mkutano wake Ikulu jijini Dar es Salaam na viongozi wa madhehebu ya dini nchini.Rais Magufuli amesema am...
kitaifa
['Paris St-Germain wameipatia ofa Man United ya kubadilishana na mshambuliaji wa Brazil Neymar, 27, kwa kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba. (Independent)', 'Arsenal itahitaji nusu ya fedha zao ilizotengewa dirisha la uhamisho kumnunua beki wa Celtic raia wa Uskochi Kierna Tierney mwenye umri wa miaka 22 huku mchez...
michezo
Serikali za Uganda na Tanzania zimekubaliana kuwa ujenzi wa mradi wa Bomba la mafuta Ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania, uanze mwezi Juni mwaka huu na ukamilike baada ya miezi 36, yaani mwezi Juni mwaka 2022.Pia, zimekubaliana kuwa majadiliano ya utekelezaji wa mradi huo wa Bomba la mafuta ghafi kutoka Ugan...
kitaifa
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kesho atakuwa miongoni mwa wadau wa michezo watakaojitokeza kuipokea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, iliyoshiriki michuano ya 32 ya Kombe la Mataifa ya Afrika, Afcon 2019, Misri itakaporejea nchini.Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha kuwa atakuwep...
michezo
POLISI mkoani Kigoma imewaua kwa kuwapiga risasi watu wanane wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, waliotaka kujihusisha na tukio la ujambazi wa kutumia silaha.Kamanda wa Polisi mkoa Kigoma, Otien amesema mjini Kigoma kuwa watu hao wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi katika tukio la juzi asubuhi katika kijiji cha...
kitaifa
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu England utakaochezwa Jumapili kati ya Liverpool na Manchester United, kuna hati hati mshambuliaji tegemeo wa United, Marcus Rashford kuukosa mchezo huo baada ya juzi kuumia katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Wolvehampton Wanderes.Rashford mwenye umri wa miaka 22, alitolewa dakika ya 30 b...
michezo
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu nchini (TFS), Nurdin Chamuya alisema hayo juzi Dar es Salaam katika uzinduzi wa filamu ya matumizi endelevu ya misitu.Chamuya alisema misitu ni rasilimali muhimu kwa Watanzania hasa kukuza uchumi wa jamii na nchi kwa ujumla ambapo jamii inatakiwa kuisimamia na kuilinda vyema ili iweze...
uchumi
FAMILIA ya Boniface Kimbe wa kijiji cha Maragosi wilayani Iringa imelazimika kuuza ekari mbili za shamba lao na kupata Sh 400,000 walizoombwa kama rushwa na Dk Daniel Masawe, ili amfanyie tiba ya upasuaji mwanafamilia mwenzao, Fadhili Kimbe. Masawe ni daktari wa binadamu, mwajiriwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya ambay...
kitaifa
ZAIDI ya mabasi 2,840 yanayokwenda mikoa mbalimbali nchini yamefungwa mfumo maalumu wa ufuatiliaji wa mwenendo wake (VTS) na umeanza kutumika rasmi jana.Mfumo huo ulioanza Januari mwaka juzi kwa majaribio kwa baadhi ya njia, ni maalumu kubaini madereva wanaoendesha zaidi ya kasi ya mwendo wa 80 kwa saa ili kuepusha aj...
kitaifa
MKAZI wa Tarime mjini mkoani Mara, Grace Omari (24) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kuiba Sh 300,000 na kumjeruhi kwa mapanga, Rehema Masero.Hukumu hiyo ilitolewa kwa mwanamke huyo, kwa kuwa yeye na wenzake wawili wa kiume, walimvamia Rehema, mkazi wa Rebu, ambaye ni mfanyabiashara.Huk...
kitaifa
UJUMBE wa kampuni kubwa 16 za uwekezaji kutoka Austria unatarajiwa kufanya ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini.Hali hiyo inatokana na jitihada zinazofanywa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara...
uchumi
Meneja Mwandamizi wa Mawasiliano wa Benki ya NMB, Joseline Kamuhanda aliwaambiwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi kuwa tayari benki hiyo imeshaanza mchakato wa kuanza utoaji wa huduma hiyo na wakati wowote itautangazia umma.“Benki ya NMB itaanza kuuza hati fungani zake wakati wowote kuanza sasa, hivyo wan...
uchumi
“NIMEANZA kutumia mbegu mpya za viazi lishe na hatua hii imeniletea matumaini kuondokana na kilimo cha mazoea hadi cha biashara,” anasema Mwahindi Mzee Makame, mkulima wa Wilaya ya Kati Bambi, Unguja.Mwahindi anasema alipata elimu ya kuotesha viazi lishe kutoka kwa wafanyakazi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo ya Kizimb...
kitaifa
SHIRIKISHO la Soka Afrika, CAF limebadili waamuzi waliokuwa wachezeshe mechi ya marudiano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya TP Mazembe ya Congo DR na Simba.Awali Shirikisho hilo lilipanga mechi hiyo inayotarajiwa kuchezwa Lubumbashi Jumamosi ya wiki hii ichezeshwe na Bamlak Tessema Weyesa (mwamuzi wa kati...
michezo
MTIBWA Sugar ya Morogoro wameitahadharisha Simba SC ya Dar es Salaam isilewe sifa kutokana kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Simba ilifika hatua hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kufikisha pointi tisa ikishika nafasi ya pi...
michezo
MAHAKAMA ya Wilaya Shinyanga imewahukumu kwenda jela mwaka mmoja au kutoa Sh milioni tatu kila mmoja watumishi watatu wa Hospitali ya kanisa la AICT Kolandoto, Manispaa ya Shinyanga kwa kosa la kutafuna Sh milioni 17.5 ambazo ni fedha za wastaafu.Waliohukumiwa ni Mganga mkuu wa hospitali hiyo, Dk Elimaliki Katani, Mha...
kitaifa
WAPINZANI wa Simba kwenye robo fainali za michuano ya Ligi ya Mabingwa wanatarajiwa kujulikana leo wakati Shirikisho la Soka Afrika (Caf) litakapochezesha droo ya michuano hiyo pamoja na ile ya Kombe la Shirikisho.Simba ilifuzu hatua hiyo ikiwa ya pili kundi D kwa kufikisha pointi 9 nyuma ya Al Ahly ya Misri iliyomali...
michezo
['Neymar anaweza kuondoka PSG iwapo kutakuwa na ofa itakayomfurahisha , amesema mkurugenzi wa michezo katika klabu hiyo Leonardo.', 'Mshambuliaji huyo wa Brazil alisusia mazoezi ya kwanza ya klabu hiyo msimu huu siku ya Jumatatu na PSG imesema kuwa itamchukulia hatua kali za kinidhamu.', 'Mchezaji huyo amehusishwa na ...
michezo
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Shabani Mwinjaka wakati wa ziara ya Waziri wa Usafirishaji kutoka Ujerumani pamoja na wafanyabiashara wakubwa wa Ujerumani.Alisema ili kuimarisha miundombinu, serikali imeona ni vyema kuboresha reli kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma kuimarisha yale yaliyopo na kuje...
uchumi
KESI ya kughushi saini ya Waziri wa Nchi, Ofi si ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba inayowakabili maofi sa sita wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imeendelea kupigwa kalenda kwa sababu upelelezi bado haujakamilika.Wakili wa serika...
kitaifa
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema hayuko tayari kus- aini mikataba yenye mashar- ti ya kuchukua mali za jeshi na migodi endapo serikali ikishindwa kulipa madeni.Dk Mpango alitoa kauli hiyo juzi jioni wakati akijibu hoja za wabunge zilizoelekezwa wakati wakichangia hotuba ya bajeti ya wizara yake hus...
kitaifa
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Steven Kebwe ameipongeza Kampuni ya Petrobena EastAfrica, kwa kufadhili mradi wa kilimo cha mpunga wa ekari 50 unaoendeshwa na kikundi cha vijana cha AgriAjira wilayani Kilosa.Akizungumza na waandishi wa habari, alipofanya ziara katika shamba la vijana, Dk Kebwe alisema juhudi za kikundi h...
kitaifa
Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Beng’i Issa amesema waratibu hao wana wajibu wa kuhakikisha wanatumia ujuzi walioupata kwa faida ya wananchi katika mikoa yao. Jumla ya waratibu 41 wa madawati ya uwezeshaji kutoka katika mikoa ya Ruvuma, Iringa, Njombe, Rukwa, Songwe na Mbeya walipatiwa mafunzo ya siku tatu jijini Mbey...
uchumi
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amewataka wawekezaji kuwekeza zaidi kwenye teknolojia ili kurahisisha ukuaji wa uchumi kwa haraka katika sekta ya viwanda.Waziri Bashungwa aliyasema hayo wakati akizindua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya plastiki cha Plasco Limited, Dar es Salaam jana.Bashungwa alise...
kitaifa
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) imesema inaunga mkono juhudi zilizochukuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(SMT) za kupiga marufuku mifuko ya plastiki kwa ajili ya kulinda mazingira na kuimarisha usafi . Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud wakati a...
kitaifa
Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge inazikaribisha kampuni za utalii ziende kuwekeza wilayani humo kwa kuwa kuna vivutio wakiwemo wanyama na misitu ya miombo.Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Peter Nzalalila amesema ofisini kwake kuwa, Sikonge ni tajiri wa misitu mikubwa iliyohifadhiwa na maeneo makubwa yaliyohifadhiwa yen...
uchumi
S ERIKALI imesema tatizo la bei kubwa ya mifuko mbadala lililopo nchini litaisha katika kipindi cha mwezi mmoja kuanzia sasa. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muun- gano na Mazingira), Januari Makamba alipozungumza na gazeti hili jana.Januari aliwataka wananchi wawe watulivu kwa kuwa hivi...
kitaifa
Pongezi hizo zimetolewa jana na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk Mary Nagu wakati akizindua mradi wa ukopeshaji wa bajaj na pikipiki, unaotolewa na benki ya NMB.Dk Nagu alitoa mwito kwa benki na taasisi za fedha nchini, kubadili fikra na mtazamo wa utoaji wa mikopo, ambao utawaw...
uchumi
['Arsenal na Manchester United wamewasilisha ofa ya kumsajili mshambuliaji wa Paris St-Germain na Uruguay Edinson Cavani, 32. (El Chiringuito - via Metro)', 'Chelsea sasa wanamlenga mlinzi wa West Ham Issa Diop na wanatazamiwa kutuma dau la usajili la pauni milioni 40 kwa Mfaransa huyo mwenye miaka 22. (Express)', 'Man...
michezo
MABINGWA wa kihistoria, Yanga, leo wanashuka kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kusaka pointi tatu katika mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Biashara United ya Mara.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku huku Yanga ikipewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi kutokana na mwenendo wa timu zote mbili...
michezo
TPB ili kufungua tawi lake jipya wilayani humo jana ili kusogeza karibu huduma za kifedha kwa wananchi.Akizindua tawi hilo, Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru alisema uanzishwaji huo ni hatua ya kimaendeleo na itasaidia kuwavutia wawekezaji katika soko la hisa na kuwashawishi wateja wadogo kuwekeza kutokana na benki h...
uchumi
MAKALA yetu ya leo katika safu ya Maadili ya Utumishi wa Umma, itajikita katika msingi mmoja wapo muhimu wa maadili, unaomtaka mtumishi wa umma kutoa huduma bora kwa wateja wake.Katika kutoa huduma, mtumishi wa umma anaweza kukutana na mteja wa ndani au mteja wa nje. Mteja wa ndani wa mtumishi wa umma ni mtumishi mwen...
kitaifa
WAKAZI wa Kanda ya Ziwa Victoria, wanakumbuka vizuri zama za nyuma namna walivyokuwa wakinufaika na bandari zilizo kando ya ziwa hilo kubwa nchini linaloiunganisha pia Tanzania na nchi za Kenya na Uganda.Huku meli maarufu za Mv Victoria, Mv Serengeti, Mv Umoja, Mv Butiama na Mv Bukoba (iliyozama) zikifanya kazi, wanan...
kitaifa
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema msimamo wa serikali ni kuona Yanga inafanya uchaguzi mdogo kujaza nafasi zilizo wazi kama ilivyopangwa na Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Januari 13, mwakani na tayari mchakato unaend...
michezo
TLTC ilinyakua kikombe cha kampuni bora kwa mkoa wa Morogoro kwa mwaka 2014, kutokana na mchango wake katika maendeleo ya mkoa na watu wa Morogoro.Akizungumza katika hafla ya zawadi hizo, iliyoandaliwa na Kituo cha Maendeleo ya Utamaduni Morogoro, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera alisema kampuni hiyo ilikuwa na ...
uchumi
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Uhujumu Uchumi Dar es Salaam maarufu Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu kifungo cha maisha jela raia wa Msumbiji, Ana Moisie Chissano (36) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya kukamatwa na dawa za kulevya aina ya kokeni zenye uzito wa kilogramu 3.03.Aidha, imeamuru dawa hizo za kulevya alizokut...
kitaifa
Alisema kuwa ratiba ya sasa ni sawa ‘ni aina ya adhabu’kwa wachezaji kama Serena Williams baada ya likizo ya uzazi.James Blake, bingwa namba nne wa zamani, alikuwa akizungumza baada ya Williams, 36, kupangwa dhidi ya Naomi Osaka katika raundi ya ufunguzi ya mashindano hayo.Alikuwa hayumo katika wachezaji waliopangwa k...
michezo
MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), imeweka mfumo katika mipaka mbalimbali ya nchi ili wafanyabiashara wa nchi za nje wakiwemo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kuzifi kia bidhaa katika mfumo ulio bora nchini.Imesema wafanyabiashara wengi wa nje, wamekuwa wakinunua bidhaa mashambani na kwa mfumo ...
kitaifa
Hadi sasa Tanzania imewekeza katika ukanda huo kwa asilimia 45, huku India ikiwekeza kwa asilimia 21, China asilimia tisa na nchi nyingine mbalimbali kwa asilimia 25. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Uwekezaji, Uhamasishaji na Uwezeshaji wa EPZA, Zawadia Nanyaro jana Dar es Salaam wakati akitoa mafunzo kwa wanahabari k...
uchumi
VIWANDA vikubwa jijini Arusha vimeipongeza serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa kuwezesha viwanda vyao sasa kuwa na umeme wa kutosha na wa uhakika.Wenye viwanda hivyo wamesema Tanesco imeboresha upatikanaji wa umeme, kwani tofauti na miaka miwili iliyopita, Jiji na Mkoa wa Arusha hawana tena shida ...
kitaifa
Benki ya Maendeleo ya TIB imekubali kudhamini Maonesho ya Pili ya Viwanda Mkoa wa Pwani yatakayofanyika Oktoba Mosi hadi saba mwaka huu.Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Charles Singili amesema, wanadhamini maonesho hayo kwa kuwa benki hiyo ina jukumu la msingi la kuendeleza viwanda hivyo ni wajibu wao na ni lazima wa...
uchumi
MEI 10, 2016 ,Tanzania iliweka historia kwa kuanza kutumia usafi ri wa mabasi yaendayo haraka katika jiji la Dar es Salaam. Kampuni ya UDART ndiyo inayotoa huduma katika mradi huo wa mabasi yaendayo haraka maarufu mabasi ya mwendo kasi. Usafiri huu umekuwa ukikabiliwa na changamoto mbalimbali, ikiwamo kusimamisha hudum...
uchumi
['Real Madrid wamemwambia ajenti wa Paul Pogba Mino Raiola kwamba hawatomsaini kiungo huyo wa kati mwezi Januari.. (Mail)', 'Chelsea wamepewa fursa ya kumsaini Isco mwenye umri wa miaka 27 kwa dau la £44m na Real Madrid, hatua itakayotoa fursa kwa mabingwa hao wa Uhispania kumnunua kiungo wa kati wa Tottenham Christian...
michezo
.Wakati dunia ikiendelea kuomboleza kifo cha nyota wa mpira wa kikapu wa Marekani, Kobe Bryant, bintiye Gianna pamoja na watu wengine saba, nabii mmoja kutoka nchini Ghana amesema kuwa anaweza kufuta masikitiko hayo kwa kumfufua Bryant na mwanae.Nabii Nigel Gaisie amesema hayo wakati akizungumza na kuwashuhudia waumini...
kimataifa
WAZIRI wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafi rishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Sira Ubwa Mamboya, amepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika kutoa huduma bora za mawasiliano na usimamizi wa miundombinu ya kimkakati ya mawasiliano nchini.Dk Mamboya alitoa pongezi hizo ji...
uchumi
MSHAMBUALIAJI wa Mwadui FC, Salum Aiyee amesema licha ya kuendelea kuwa kinara katika upachikaji wa mabao kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara bado akili yake inawaza kwenda kucheza soka la kulipwa nje.Aiyee hadi sasa amefunga mabao 16 yanayomfanya kuwa kinara katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akifukuziwa kwa ukaribu ...
michezo